lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Hujasikia maelezo ya ndugu?alifuatwa akiwa kwake na gari Aina ya Noah usiku na watu wasiojulikana,.baadae mwili wake ukakutwa umetelekezwa..sio kutekwa huko??KILA ANAYEKUFA AMETEKWA?
ULISOMA TAARIFA KUHUSU HUYO SHEKHE AU MNABWABWAJA TU?
Tumuamini nani?Hujasikia maelezo ya ndugu?alifuatwa akiwa kwake na gari Aina ya Noah usiku na watu wasiojulikana,.baadae mwili wake ukakutwa umetelekezwa..sio kutekwa huko??
Wao wakipewa sukari ya kupeleka nyumba ndogo inatoshaUnawalaumu bure BAKWATA,ufahamu wao juu ya haki za binadamu ni mdogo sana,ile ni taasisi kama uv CCM ujue
Maelezo yako ndio nasikia kwako mapya kwangu siwezi kubisha,Sasa unafikiri kwanini watu wananyooshea mkono serikali??sababu Kuna matukio kama haya yametokea victims wakisema polisi wamehusika ila serikali haijawahi kufanya uchunguzi Wala kutoa ripoti,mfano Mke wa mdude nyagari na jirani yao,walisema polisi ndio walimchukua Mdude na Hadi majina ya polisi wakataja,..Tumuamini nani?
Houseboy: alikuja rafiki yake wakapga stori sana, baadaye wakaja watu ambao wanaonekana wanafahamiana baadaye wakaondoka..
Ndugu zao(mwanzoni) ndugu yetu alikuwa na presha ijapo siku hyo hakuwa mgonjwa..
Ndugu zao(hv karbun) ilikuja noah!
Kwa mjibu ya maelezo ya rpc mchomvu, marehemu alikuwa na houseboy, na houseboy alikuwepo siku ya tukio.
1. Unataka kusema kuwa wa vyama vingne hawafi au kupotea?Maelezo yako ndio nasikia kwako mapya kwangu siwezi kubisha,Sasa unafikiri kwanini watu wananyooshea mkono serikali??sababu Kuna matukio kama haya yametokea victims wakisema polisi wamehusika ila serikali haijawahi kufanya uchunguzi Wala kutoa ripoti,mfano Mke wa mdude nyagari na jirani yao,walisema polisi ndio walimchukua Mdude na Hadi majina ya polisi wakataja,..
Sativa,kamtaja mafwele ndio muhusika lakini hajawahi kujitetea Wala polisi hata kuomba maelezo..
Unadhani kifo chochote cha kutilia mashaka Cha viongozi wa kisiasa au kidini watu watasemaje??mauaji na watu kutekwa vipo hata kabla ya uhuru lakini yanayoendelea Sasa mtu timamu lazima atilie Shaka..
Gwajima kaita press kukemea tu utekaji ,ila watu wote wa serikali wamemgeuka,umejifunza Nini?
Ni kweliDini ya Uislamu unasheria zake, haina mihemko.
Shuhuli sio yako isikutoe jasho
Wanasubiri kusema......Udini udini huo ndio mwongozo?Waislamu wana mwongozo, hawaendi tu kwa kichwa mchunga. Waislamu wanajua namna ya kuyaendea mambo kwa kuwa yameelekezwa hayo ktk dini yao. Sio kila lifanyikalo husemwa kwenye vinara, waislamu wanajua njama zinazotumiwa na wasioitakia mema nchi hii.
Aliposhambuliwa Fr. Kitima, baada ya zile kauli za Mashaikh wa BAKWATA, nakumbuka Sheikh Ponda aliwaonya wale Masheikh na kuwakumbusha kuwa wasidhani kuwa Waislam wapo salama, akawasifu Maaskofu, akasikitishwa na kitendo cha Fr. Kitima kushambuliwa.Masheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini likipanda.
Hivi karibuni Maaskofu wamekuwa msitari wa mbele kulaani matendo ya kitekaji na uuaji yanayoyendelea nchini, cha ajabu Masheikh wa BAKWATA badala ya kukemea na kulaani mambo hayo, wao wamekuwa msitari wa mbele kuitetea serikali kwa kuleta hoja za "whataboutism", hoja zao dhidi ya maaskofu ni mbona mtawala alipokuwa fulani hamkusema. Japo hiyo hoja yao si kweli kwa sababu maaskofu kipindi cha utawala wa Magufuli wamewahi kutoa waraka mzito wa Kwaresma kulaani ukandamizaji nchini, lakini ni Masheikh ndo waliokaa kimya huku dhulma kwa wafanyabiashara, wanasiasa na watu wengine zikifanyika.
Tumeona jinsi maaskofu walivyosimama kumkatakia Magufuli katakata alipodai eti nchini COVID haipo. Wakasema wanaoumia na COVID ni watawa wao pamoja na waumini wao, lazima serikali ichukue hatua. Wakati maaskofu wakifanya hayo Masheikh wa BAKWATA kimyaa.
Maaskofu walipolalamika kuumizwa kwa padri wao, Father Kitima, Masheikh wa BAKWATA wanang'aka eti mbona maaskofi hawakuwatetea masheikh walipowekwa ndani. Badala ya Masheikh wa BAKWATA wawe msitari wa mbele kuwatetea masheikh wenzao, wao wanaoiga kimya, kisha wanangoja maaskofu wazungumze jambo la manufaa halafu wao wapinge!. Ajabu sana hii.
Juzi kauawa Sheikh Jabir huko Zsnzibar. Alitekwa na watu, Jioni yake mwili ukaokotwa pembezoni mwa barabara. Lakini huwasikii Masheikh wa BAKWATA wakikemea hili.
Kwa kweli hili ni tatizo kubwa, ni shida kubwa kwa Waislamu.
Angalau Sheikh Ponda na shura ya maimamu huongea, lakini siyo hawa masheikh wa BAKWATA ambao ni chombo kikubwa nchini.
Hebu tazama hapa chini video ya mazishi ya Sheikh Jabir, na mahojiano ya Sheikh Ponda ( Siyo BAKWATA huyu)
View: https://youtu.be/rkPg13A3uGE?si=NEBlmPOGmk1QCKog
AIBU SANAMasheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini likipanda.
Hivi karibuni Maaskofu wamekuwa msitari wa mbele kulaani matendo ya kitekaji na uuaji yanayoyendelea nchini, cha ajabu Masheikh wa BAKWATA badala ya kukemea na kulaani mambo hayo, wao wamekuwa msitari wa mbele kuitetea serikali kwa kuleta hoja za "whataboutism", hoja zao dhidi ya maaskofu ni mbona mtawala alipokuwa fulani hamkusema. Japo hiyo hoja yao si kweli kwa sababu maaskofu kipindi cha utawala wa Magufuli wamewahi kutoa waraka mzito wa Kwaresma kulaani ukandamizaji nchini, lakini ni Masheikh ndo waliokaa kimya huku dhulma kwa wafanyabiashara, wanasiasa na watu wengine zikifanyika.
Tumeona jinsi maaskofu walivyosimama kumkatakia Magufuli katakata alipodai eti nchini COVID haipo. Wakasema wanaoumia na COVID ni watawa wao pamoja na waumini wao, lazima serikali ichukue hatua. Wakati maaskofu wakifanya hayo Masheikh wa BAKWATA kimyaa.
Maaskofu walipolalamika kuumizwa kwa padri wao, Father Kitima, Masheikh wa BAKWATA wanang'aka eti mbona maaskofi hawakuwatetea masheikh walipowekwa ndani. Badala ya Masheikh wa BAKWATA wawe msitari wa mbele kuwatetea masheikh wenzao, wao wanaoiga kimya, kisha wanangoja maaskofu wazungumze jambo la manufaa halafu wao wapinge!. Ajabu sana hii.
Juzi kauawa Sheikh Jabir huko Zsnzibar. Alitekwa na watu, Jioni yake mwili ukaokotwa pembezoni mwa barabara. Lakini huwasikii Masheikh wa BAKWATA wakikemea hili.
Kwa kweli hili ni tatizo kubwa, ni shida kubwa kwa Waislamu.
Angalau Sheikh Ponda na shura ya maimamu huongea, lakini siyo hawa masheikh wa BAKWATA ambao ni chombo kikubwa nchini.
Hebu tazama hapa chini video ya mazishi ya Sheikh Jabir, na mahojiano ya Sheikh Ponda ( Siyo BAKWATA huyu)
View: https://youtu.be/rkPg13A3uGE?si=NEBlmPOGmk1QCKog
SHida inakuja kwamva vifo kama hivyo hatupewi taarifa rasmi kutoka vyombo vya uchunguzi. Kiasi kwamba hata mtu akipata ajali watu wanaanza kufikiria ameuwawa.KILA ANAYEKUFA AMETEKWA?
ULISOMA TAARIFA KUHUSU HUYO SHEKHE AU MNABWABWAJA TU?
BAKWATA wataongea nini wamezoea kuchinjana kule ZanzibarMasheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini likipanda.