Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Umemaliza kila kitu 🙏🙏
Ila ni kweli pia hao mafisadi wapiga Dili wa Nchi hii hawawezi kukubali kuitwa wanyonge !
Pamoja na Uchache wao bado wanaamini wao ndio wanawawakilisha wananchi wote wa Nchi hii !!
 
Umemaliza kila kitu 🙏🙏
Ila ni kweli pia hao mafisadi wapiga Dili wa Nchi hii hawawezi kukubali kuitwa wanyonge !
Pamoja na Uchache wao bado wanaamini wao ndio wanawawakilisha wananchi wote wa Nchi hii !!
Unyonge sio kitu cha kumhamasisha mtu ajisifie nacho
 
Huyu nae, kwanini hakuyasema kabla Magufuli hajafariki? Ktk hili huyu Sheikh ni muongo na anatanguliza udini. Tulimsikia na kumuona jpm mara kadhaa tena mbele ya mfuti mkuu, barozi wa Morocco, na Viongozi wengine wa BAKWATA akisimulia jinsi alivyomuomba mfalme wa Morocco kujengewa huo msikiti.
 
Unyonge sio kitu cha kumhamasisha mtu ajisifie nacho
Sio kujisifia bali ndio hali halisi iliyopo inayotakiwa kushughulikiwa kwa pamoja ili hali hiyo itokomezwe !

Stepu ya kwanza ya kulitatua tatizo lolote lile ni kukubali kwamba hilo tatizo lipo ! 🙏
 
Hii vita na marehemu itaisha siku na wanaepambana nae wakishakata roho......sasa ya kaburini me siyajui.
Watu wana akili fupi kama maisha ya funza.
 
Kwa masikio yetu na kwa macho yetu, hadi Magufuli anaingia msikiti huo sjui ni kujiridhisha kwa ulivyokuwa unaendelea kujengwa

Na kwa kinywa chake yeye alisema na akamshukuru mfalme wa Morocco
Na walikuwa pamoja na mfalme wa Morroco mimi huyu mzee sikumuona ndio namuona leo
 
Daah huyo mzee hadi kaapa eti kafunga aibu naona mimi jaman daah
Kweli tumuogope MUNGU na Technology
 
JPM alifanikisha ujenzi wa huo msikiti, tusidanganyane.
Magufuli alikuwa mwongo na alivitishia vyombo vya habari visibishane na matamko yake. Hivyo ndivyo MADIKTETA walivyo.

Tuendelee kumuumbua tu
 
JPM alikuwa anaongea kiswahili, Mfalme wa Morroco hakuelewa anachosema, angeelewa angemuumbua pale pale jukwaani
Ila wewe kumbe ni Taila ujasikia hapo wanatafsiri
 
Wenye dini yao unawabishia?
Kwa sababu JPM hakuwa dini yao, kwa hiyo lolote alilowafanyia watasema siyo yeye aliyelifanya bali kulikuwa na mwana dini mwingine.

Kuna siku JPM alipitisha bakuli (nadhani kanisani) kukusanya michango ya ujenzi wa msikiti fulani Dodoma.
 
Sio unafiki. Ni ukweli . Unafiki pale hapo mwanzo wangalikua BAKWATA wamesema hadharani kama kajenga magufuli lakini wao walikaa kimya..hivi sasa taifa linapewa taarifa
Hao mashehe si alikuwa nao hapo.

Unafiki ni dhambi

Na mnazidi kumuharibia mzee wa watu Kikwete.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…