Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Ata wakisema ni Chief hangaya ndo kafanikisha akiwa kama makamu au Rais ni sawa tu
 
Wewe ni mjinga tu, hata huo ushahidi uliowekewa kwenye huu uzi huuoni kwasababu ya uchawa uliokujaa, ajabu unataka nikutajie matatu mengine, hayo ndio utayaona?! wenzio wameshafunga midomo yao baada ya kuona ushahidi, ajabu wewe mjinga ndio unazidi kupiga kelele hapa bila aibu.

Sikiliza wewe mpuuzi, nilikuwa nikiukemea uovu wa Magufuli tena akiwa hai, sijui wakati ule wewe ulikuwa kijiji gani huko, mimi sio wa kukaririshwa chochote kwasababu akili yangu inajielewa, haina upofu kama huo uchawa wako na wenzio.
 
Mbona hayakusemwa alipokuwa hai?
 
Watuambie na Chuo kikuu cha kiislamu Morogoro aliwapa nani na kinaendeleaje hadi sasa?
 
Aibu naona mimi
 
Wewe mwongo sana. Umejoin hapa mwaka jana Oktoba halafu unajifanya ulikuwa unamkemea Magufuli akiwa hai wakati Magu kafa 2021. Weka hapa uzi wa kumkemea Magu tuuone.

Hata utumie kashfa gani sisi tutaendelea kupiga kichwa cha mwendazake mpaka akili ziwarudi
 
Ila wavaa kobazi aiseee!!!!!
Na kile chuo kikuu cha waislamu pale MOROGORO kilijengwa na marehemu Mzee mwinyi
Halafu wao wenyewe hawakitaki wanapeleka watoto wao St Augustine, Tumaini, St John's etc. Sijui kinaendeleaje na udahili 🤣🤣🤣🤣
 
Mwanzoni hapo bakwata gaddafi si alitoa hela ijengwe msikiti
Vp nini kilitokea haha
Mpaka jiwe la msingi liliwekwa

Ova
 
Unazidi kunionesha ulivyojaa ujinga... huku JF nimekuwa na id tatu tofauti; jd41, ikafuatia denooJ, sasa niko na hii denoo JG huku zote zikiwa na profile pic inayofanana..

- Huo muda wa kukuwekea comment inayomkosoa Magufuli ndio sina, tafuta mwenyewe...

Hope umenielewa wewe mshamba unaedhani ku register id mpya ndio mwanzo wa kuchangia mada JF, fuatilia hizo id ujue hiki ni kichwa cha sampuli gani wewe chawa.
 
No doubt Magufuli alimaster sana the art of propaganda. Alizishika media zote, hadi za nje kuna wakati ikatangazwa kwamba hazipaswi kurusha maudhui ya ndani bila kibali.

Media zote nchi, binafsi na zile za serikali hadi zile ambazo ziko tu online ambazo hazina usajili wa serikali zilijaa woga kumtaja Magufuli katika namna ambayo isingempendeza. Media nchini ziliimba mapambio ya kumsifu na kumtukuza mawizo mpaka machweo.

Propaganda za Magufuli zinanikumbusha propaganda za Adolf Hilter, Joseph Stalin na Mao Ze Dong. Hawa watu walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuaminisha mambo ambayo hayapo, walikuwa na uwezo wa kupandikiza nadharia zao na imani zao juu ya kadamnasi na ikaamini vivyo, huku nyuma ya pazia wakiwa na mauzauza yao kibao.

Magufuli alitupiga wapi? Kwanza alijifanya Rais wa wanyonge, akijua kwamba watanzania wengi over 40% tuko chini ya mstari wa umasikini wa $1 kwa siku, masikini wengi tulimpenda sana tukidhani ni mwenzetu lakini katu, hakuwa mwenzetu, JPM alikuwa tajiri sana.

Magufuli alijua kwamba watanzania hatupendi mafisadi, wengi tunadhani umasikini wetu kuna watu wanatuibia serikalini. JPM akaona atangaze nao vita kali, tukamsahau yeye ambaye alijilimbikizia mali nyingi sana, huku tukijua kwamba anapambana na mafisadi kwa ajili yetu, kumbe ni kwa ajili yake kwani kila alipotaifisha mali zao, zikawa zake na jamaa zake.

JPM master the art of public manipulation. Kwenye ziara zake alisimama barabarani, alizungumza na watu, akatoa fedha hadharani kwa watu wa hali ya chini, alitembelea hospitali na kutoa misaada hadharani kwa watu waliokuwa na hali ngumu huku kila media ikimulika. Vitendo vile vimewalevya wengi kudhani kwamba JPM was saviour, tukasahau kabisa na yeye ni mwanadamu mwenye tamaa na uchu, aliweza kufanya chochote pasi nasi kujua kuwa mali zetu zinaibwa na kuwekezwa kwenye hotels zake, real estate, mashamba na kuficha fedha nje ya nchi. Mtoto wa dada yake, aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya fedha Dotto James alifanya kazi kubwa sana kusafirisha fedha za mjomba wake nje.

Naona leo wakimkumbuka sana. Nasikitika sana kuona wengi wakimkumbuka JPM pasi na wao kujua kwamba bado wamo kwenye dimbwi la mning'inio wa propaganda za JMP. Ila kama tungejua uozo na madudu aliyofanya nyuma ya pazi, pengine tungezinduka kutoka kwenye hangover hiyo. Tuishie hapo.
 
Huu upuuzi wote ulioandika hapa kwani unaendana na mada iliyopo mezani?!

Ujue nikikuita mjinga sikuonei, una tatizo la kushindwa kuchambua jambo kwa mantiki, wewe upo kama msukule ukiona jina tu Magufuli unaanza kuropoka ujinga!.

Hauko peke yako, wengi mnaojidai kumchukia Magufuli sana humu ndani mnaangukia kundi hili, la vilaza wajuaji wasiojua chochote, mnaoishi kwa kukariri jina la mtu.
 

Naona likitajwa jinaMagufuli mimba aliyokuachia inachezacheza mbwa wewe.

Hzi takataka zako subiri miaka 100 uje uwadanganye.
 
we nae mb
Hapa umetupiga. Ni Dar - Dodoma - Utawala wa JpM
Dodoma - Singida - Tabora - Shinyanga - Mwanza - Utawala wa Samia
we nae mbumbumbu mpka na mm niseme alisaini mpka wapi mkataba jpm enda
 
Wewe akili zako aliondoka mazo Magufuli kama za Etwege hakuna namna tunaweza kuwasaidia.
 
Naona likitajwa jinaMagufuli mimba aliyokuachia inachezacheza mbwa wewe.

Hzi takataka zako subiri miaka 100 uje uwadanganye.
Wewe akitajwa Magufuli mimba yako unazaa au mimba inaharibika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…