Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mjinga tu, hata huo ushahidi uliowekewa kwenye huu uzi huuoni kwasababu ya uchawa uliokujaa, ajabu unataka nikutajie matatu mengine, hayo ndio utayaona?! wenzio wameshafunga midomo yao baada ya kuona ushahidi, ajabu wewe mjinga ndio unazidi kupiga kelele hapa bila aibu.Acha mbambamba yaseme kama yapo!! Mlijazwa ujinga na propaganda akiwa hai na bado hamjashituka.
Waislamu wamekataa kuhusu Magufuli kuwa na mchango kwenye msikiti wao, wewe unaona wanamchafua.
Yaani BRAINWASH aliyowapiga nyie ni ya hatari sana. Sijui aliondoka na akili zenu akaaacha kama MISUKULE??
Angekuwa hai??? Au umesahau?Hata kwenye dini wanafiki na wasakatonge wapo kwanini hakuongea hayo na kumkemea JPM aache kudanganya?
Mbona hayakusemwa alipokuwa hai?Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.
Iwe bhojo!
Watuambie na Chuo kikuu cha kiislamu Morogoro aliwapa nani na kinaendeleaje hadi sasa?MAGUFULI HAHITAJI KICK YA MSIKITI!
Mwamba "JPM!"
John Pombe Magufuli... ameondoka Dunia na hatarudi kamwe.Hii ni kanuni ya ki-maumbile ya Ki-dunia,kulingana na mafundidho ya vitabu vitakatifu vya Mungu kwamba kila nafsi itapitia hatua hiyo kwa muda wake utakapiwadia.
Mimi ninachofurahia ni jinsi Magufuli alivyoacha "Landmarks" lukuki ambazo zinawatesa hawa wapigaji wa kisasa wa kisiasa!
Hawawezi kumfuta Magufuli kirahisi ilhali kaacha Landmark kila kona ya nchi
Nitaziorodhesha hapa na muelewe sababu ya Magufuli kutofutika kirahisi Hapa nchini.
IKULU ya Chamwino-Dodoma.
BWAWA LA UMEME la Nyerere.
UKUTA wa Mererani-Manyara.
DARAJA la Tanzanite-Dar es Salaam.
FLYOVERS ya Mfugale -Dar es Salaam.
STENDI YA MAGUFULI-Dar es Salaam.
BARABARA NJIA SITA-Ubungo mpaka mbezi na kuendelea mlandizi.Dar es Salaam.
STENDI KUU -Morogoro.
SOKO KUU-Mwanza.
STENDI KUU-Nyegezi,Mwanza.
STENDI KUU-Nyamhongolo Mwanza.
UWANJA WA NDEGE-Chato.
DARAJA LA WAMI- TANGA.
BOMBA LA MAFUTA -Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania.
RELI YA SGR-Dar es Salaam mpaka Mwanza.
Hizi ni Landmarks na sio vitu vinavyohamishika.ndio maana sijataja Meli wala Ndege.
Kuna pia Zahanati zaidi ya 478 pamoja na hospitali za Wilaya,Rufaa pamoja na za kanda kama Hospitali ya Rufaa Chato.
Kiongozi kama huyu huwezi futa legacy yake kwa kutumia keyboard.
Halafu watu fulani wenye kushiriki uovu kupigana na Legacy ya JPM huku wakitaka kuzitumia hizo Landmarks za JPM kwenye uchaguzi ujao wa 2025.Ushahidi uko wazi.
Watuambie kwanza hizo awamu zingine ukiondoa ya Baba wa Taifa JK Nyerere(R.I.P),na pia Benjamin Mkapa(R.I.P).
Hao wengine watuambie legacy zao walizotuachia zaidi ya Ufisadi,Majungu na Kupigana na Makaburi.
Na kama taifa!
Ni nini na zinatusaidiaje kwa sasa kama zipo?
Aibu naona mimiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 28 Februari, 2020 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Msikiti mkubwa wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Msikiti huo unajengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohammed VI wa Morocco baada ya kuombwa na Mhe. Rais Magufuli alipofanya ziara rasmi hapa nchini Oktoba 2016.
Akiongozwa na Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir bin Ally, Mhe. Rais Magufuli amejionea kazi za ukamilishaji wa jengo jipya la Msikiti na jengo la ofisi ya Taasisi ya Mfalme Mohammed VI wa Morocco zikiendelea kukamilishwa, na ameelezea kufurahishwa kwake na ubora na uzuri wa Msikiti huo.
Mhe. Rais Magufuli amemshukuru Mfalme Mohammed VI wa Morocco kwa kutekeleza ombi alilomuomba la kuwajengea Waislamu Msikiti mkubwa kuliko yote hapa nchini, na amempongeza Mufti wa Tanzania na Waislamu wote kwa kujengewa nyumba nzuri ya Ibada.
Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir bin Ally amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa kuwajali Waislamu na kuwaombea msaada wa kujengewa Msikiti huo ambao ujenzi wake umefikia asilimia 97.
Akiwa na viongozi wenzake wa BAKWATA, Sheikh Mkuu Aboubakar Zubeir bin Ally ameongoza Dua ya kumuombea Mhe. Rais Magufuli na kuliombea Taifa ili Mwenyezi Mungu aiepushe Tanzania dhidi ya maradhi ya homa ya virusi vya corona, kudumisha amani na utulivu na kuombea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu ufanyike vizuri na kwa amani.
Wewe mwongo sana. Umejoin hapa mwaka jana Oktoba halafu unajifanya ulikuwa unamkemea Magufuli akiwa hai wakati Magu kafa 2021. Weka hapa uzi wa kumkemea Magu tuuone.Wewe ni mjinga tu, hata huo ushahidi uliowekewa kwenye huu uzi huuoni kwasababu ya uchawa uliokujaa, ajabu unataka nikutajie matatu mengine!. wenzio wameshafunga midomo yao baada ya kuona ushahidi, ajabu wewe mjinga ndio unazidi kupiga kelele hapa bila aibu.
Sikiliza wewe mpuuzi, nilikuwa nikiukemea uovu wa Magufuli tena akiwa hai, sijui wakati ule wewe ulikuwa kijiji gani huko, mimi sio wa kukaririshwa chochote kwasababu akili yangu inajielewa, haina upofu kama huo uchawa wako na wenzio.
Wafia legacy ss mmehamia kugombea ht Msikiti!JPM alifanikisha ujenzi wa huo msikiti, tusidanganyane.
Halafu wao wenyewe hawakitaki wanapeleka watoto wao St Augustine, Tumaini, St John's etc. Sijui kinaendeleaje na udahili 🤣🤣🤣🤣Ila wavaa kobazi aiseee!!!!!
Na kile chuo kikuu cha waislamu pale MOROGORO kilijengwa na marehemu Mzee mwinyi
Kwa Magu kulikuwa hakuna wa kumzuia kufanya loloteUnaweza kulazimisha kuingia Msikitini ilhali wewe siyo Islam?
Unazidi kunionesha ulivyojaa ujinga... huku JF nimekuwa na id tatu tofauti; jd41, ikafuatia denooJ, sasa niko na hii denoo JG huku zote zikiwa na profile pic inayofanana..Wewe mwongo sana. Umejoin hapa mwaka jana Oktoba halafu unajifanya ulikuwa unamkemea Magufuli akiwa hai wakati Magu kafa 2021. Weka hapa uzi wa kumkemea Magu tuuone.
Hata utumie kashfa gani sisi tutaendelea kupiga kichwa cha mwendazake mpaka akili ziwarudiView attachment 2947111
Yaa nmesahau shekheAngekuwa hai??? Au umesahau?
No doubt Magufuli alimaster sana the art of propaganda. Alizishika media zote, hadi za nje kuna wakati ikatangazwa kwamba hazipaswi kurusha maudhui ya ndani bila kibali.Unazidi kunionesha ulivyojaa ujinga... huku JF nimekuwa na id tatu tofauti; jd41, ikafuatia denooJ, sasa niko na hii denoo JG huku zote zikiwa na profile pic inayofanana..
- Huo muda wa kukuwekea comment inayomkosoa Magufuli ndio sina, tafuta mwenyewe...
Hope umenielewa wewe mshamba unaedhani ku register id mpya ndio mwanzo wa
Huu upuuzi wote ulioandika hapa kwani unaendana na mada iliyopo mezani?!No doubt Magufuli alimaster sana the art of propaganda. Alizishika media zote, hadi za nje kuna wakati ikatangazwa kwamba hazipaswi kurusha maudhui ya ndani bila kibali.
Media zote nchi, binafsi na zile za serikali hadi zile ambazo ziko tu online ambazo hazina usajili wa serikali zilijaa woga kumtaja Magufuli katika namna ambayo isingempendeza. Media nchini ziliimba mapambio ya kumsifu na kumtukuza mawizo mpaka machweo.
Propaganda za Magufuli zinanikumbusha propaganda za Adolf Hilter, Joseph Stalin na Mao Ze Dong. Hawa watu walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuaminisha mambo ambayo hayapo, walikuwa na uwezo wa kupandikiza nadharia zao na imani zao juu ya kadamnasi na ikaamini vivyo, huku nyuma ya pazia wakiwa na mauzauza yao kibao.
Magufuli alitupiga wapi? Kwanza alijifanya Rais wa wanyonge, akijua kwamba watanzania wengi over 40% tuko chini ya mstari wa umasikini wa $1 kwa siku, masikini wengi tulimpenda sana tukidhani ni mwenzetu lakini katu, hakuwa mwenzetu, JPM alikuwa tajiri sana.
Magufuli alijua kwamba watanzania hatupendi mafisadi, wengi tunadhani umasikini wetu kuna watu wanatuibia serikalini. JPM akaona atangaze nao vita kali, tukamsahau yeye ambaye alijilimbikizia mali nyingi sana, huku tukijua kwamba anapambana na mafisadi kwa ajili yetu, kumbe ni kwa ajili yake kwani kila alipotaifisha mali zao, zikawa zake na jamaa zake.
JPM master the art of public manipulation. Kwenye ziara zake alisimama barabarani, alizungumza na watu, akatoa fedha hadharani kwa watu wa hali ya chini, alitembelea hospitali na kutoa misaada hadharani kwa watu waliokuwa na hali ngumu huku kila media ikimulika. Vitendo vile vimewalevya wengi kudhani kwamba JPM was saviour, tukasahau kabisa na yeye ni mwanadamu mwenye tamaa na uchu, aliweza kufanya chochote pasi nasi kujua kuwa mali zetu zinaibwa na kuwekezwa kwenye hotels zake, real estate, mashamba na kuficha fedha nje ya nchi. Mtoto wa dada yake, aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya fedha Dotto James alifanya kazi kubwa sana kusafirisha fedha za mjomba wake nje.
Naona leo wakimkumbuka sana. Nasikitika sana kuona wengi wakimkumbuka JPM pasi na wao kujua kwamba bado wamo kwenye dimbwi la mning'inio wa propaganda za JMP. Ila kama tungejua uozo na madudu aliyofanya nyuma ya pazi, pengine tungezinduka kutoka kwenye hangover hiyo. Tuishie hapo.
No doubt Magufuli alimaster sana the art of propaganda. Alizishika media zote, hadi za nje kuna wakati ikatangazwa kwamba hazipaswi kurusha maudhui ya ndani bila kibali.

we nae mbumbumbu mpka na mm niseme alisaini mpka wapi mkataba jpm endaHapa umetupiga. Ni Dar - Dodoma - Utawala wa JpM
Dodoma - Singida - Tabora - Shinyanga - Mwanza - Utawala wa Samia
Wewe akili zako aliondoka mazo Magufuli kama za Etwege hakuna namna tunaweza kuwasaidia.Huu upuuzi wote ulioandika hapa kwani unaendana na mada iliyopo mezani?!
Ujue nikikuita mjinga sikuonei, una tatizo la kushindwa kuchambua jambo kwa mantiki, wewe upo kama msukule ukiona jina tu Magufuli unaanza kuropoka ujinga!.
Hauko peke yako, wengi mnaojidai kumchukia Magufuli sana humu ndani mnaangukia kundi hili, la vilaza wajuaji wasiojua chochote, mnaoishi kwa kukariri jina la mtu.
Wewe akitajwa Magufuli mimba yako unazaa au mimba inaharibika?Naona likitajwa jinaMagufuli mimba aliyokuachia inachezacheza mbwa wewe.
Hzi takataka zako subiri miaka 100 uje uwadanganye.