Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Tafuta kazi za kufanya , Magufuli lin alisema ni msikitini wake ?

Magufuli ni msikiti wa Dodoma .
 
Tunapoongea tunaongea kuhusu mleta maono!

Wewe unaleta Porojo za Uchawa.
Hawa wanafanya muendelezo wa wazo la JPM na hata Samia anaongea hivyo.
Who are you out there kuja kupinga???
Wazo/Maoni (Kiswahili sahihi dira) lilianza mwaka 2010 wakati wa kampeni na Jakaya aliahidi kujenga hiyo reli. Ikafanyiwa upembuzi yakinifu wakati huo na ikapnangwa kuzinduliwa September 2015 KABLa ya Magufuli kuingia madarakani. Na mpango wa awali ilikuwa ni kuipa China Construction tenda na wafadhili walikuwa Exim bank - China. Baadae mkopo ukachukuliwa toka Exim Bank - Turkey na ujenzi wakapewa Waturuki.

 
JPM huko ashamaliza safari yake na kitabu chake kilisha fungwa mema yake yooote yalisha andikwa sasa ww mnafiki unakuja na ngonjera za kinafiki hadi kwa marehem mbaya zaidi mwezi wa toba !!!na ukute alikua anasema hayo kafunga ...Shenz
 
JPM alikuwa anaongea kiswahili, Mfalme wa Morroco hakuelewa anachosema, angeelewa angemuumbua pale pale jukwaani
 
Mwezi wa Mungu unaendelea
 
JPM alikuwa anaongea kiswahili, Mfalme wa Morroco hakuelewa anachosema, angeelewa angemuumbua pale pale jukwaani
Kwa ivyo huyo interpreter wa kifaransa alikuwa na anawapigia makelele tu hiyo hadhara kila Magufuli akimaliza kuongea.

Isitoshe kuna video zingine za Magufuli akiwaongezea hela cash hao BAKWATA wamalize msikiti kama tsh 100 kama sikosei.

Watu wengine hata sijui huwa wanafungia nini.
 
Wanafiki wakubwa!
Mbona hamkukanusha kipindi akiwa hai!
Halafu jifunzeni kujenga majengo ya Ibada kama Wakristo!
 
Sasa kweli limsikiti magufuli nalo sifa au kuna mambo ya sifa ila sio msikiti la nini....kuna shule kuna hospital kuna madaraja kuna vitu vya maana sasa limskiti si hata ingekuwa kanisa lina maana gani katika maendeleo ya africa zaidi ya kujazana maujinga tu
 
Hapo bakwata kwenye kuna ofisi mpaka leo wao hawajamaliza

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…