Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Msikiti hahusiki lkn
 
Rais John Magufuli wa Tanzania, aliyefariki mwezi Machi 2021, aliacha urithi mkubwa uliokuwa na uongozi imara, jitihada za kupambana na ufisadi, na umuhimu wa maendeleo ya miundombinu.

Alikuwa anajulikana kwa jina lake la utani "Bulldozer" kutokana na azma yake ya kusukuma sera na miradi. Utawala wake ulipatia kipaumbele viwanda, miradi ya miundombinu kama barabara na reli, na jitihada za kuboresha huduma za afya na elimu.

Hata hivyo, uongozi wake pia ulikosolewa kwa mwelekeo wake wa udikteta, kuzuia upinzani, na kutilia shaka COVID-19. Kwa ujumla, urithi wa Magufuli ni mchanganyiko wa mafanikio na utata, ukionyesha nguvu zake na mapungufu yake kama kiongozi.

Kwangu mimi Magufuli alikuwa ni Rais bora kuliko wengine waliopita, Kipi bora kujenga Mahoteli na kuwekeza nje ya nchi miradi isiyo na manufaa kwa umma au kujenga miradi kadhaa kanda ya ziwa na chato ambayo taifa litaona na itanufaisha watu wengine katika nchi?.

IKULU ya Chamwino-Dodoma.
BWAWA LA UMEME la Nyerere.
UKUTA wa Mererani-Manyara.
DARAJA la Tanzanite-Dar es Salaam.
FLYOVERS ya Mfugale -Dar es Salaam.
STENDI YA MAGUFULI-Dar es Salaam.
BARABARA NJIA SITA-Ubungo mpaka mbezi na kuendelea mlandizi.Dar es Salaam.
STENDI KUU -Morogoro.
SOKO KUU-Mwanza.
STENDI KUU-Nyegezi,Mwanza.
STENDI KUU-Nyamhongolo Mwanza.
UWANJA WA NDEGE-Chato.
DARAJA LA WAMI- TANGA.
DARAJA LA JPM Busisi Mwanza
MBORESHO YA SHERIA ZA MADINI (Government shares)
UWAJIBIKAJI NA USIMAMIZI WA MALI ZA UMMA
BOMBA LA MAFUTA -Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania.
RELI YA SGR-Dar es Salaam mpaka Mwanza.
 
Magaidi ya naona aibu kujengewa msikiti na kafiri
 
MAGUFULI angeendelea kuwepo kuna Siku angesema ndio aliyeleta UHURU wa Nchi hii
 
Huyu mtu alikuwa na mapenzi ya dhati kwa Watanzania wote. Ukweli usemwe. Ingawa kama binadamu alifanya makosa, ila kwa nia njema. Mungu atamhesabu kwa nia yake.
Ama kuhusu Kikwete kuwa ndiye aliyeomba msikiti, mhuu....Kikwete bwana aliacha mambo yote muhimu hadi mwisho wa uongozi wake, tena kwa kustuka wakati ni saa tano na nusu! MUDA WA MIAKA 9 MIEZI 11 NA WIKI MBILI alikuwa akizurura tu! Nani kamwambia aombe msikiti wakatii wa mwisho wa uongozi wake? Hivyo hivyo alituaminisha alifikiria kujenga SGR na hata bwawa la Nyerere.....mwisho wa kipindi chake!
 
Kiki zinazidi kufutwa, na sasa historia ya ukweli inawekwa hadharani. Kongole kwa Sheikh Jongo.
 

Sheikh Jongo amesawazisha historia, umma wa wenye Imani na pia waTanzania kwa ujumla sasa tutaendelea kupata historia sahihi kinyume na utawala wa kidikteta ulivyokuwa unataka kuandika historia isiyo sahihi.

This royal decision came as a response to a request by Mufti Sheikh Abu-Bakr Ibn Zubayr Benali, President of BAKWATA

King Mohammed VI Launches Building Works of Mosque in Dar es Salaam​



By Staff Writer
Oct. 25, 2016 11:11 a.m.

Dar es Salaam - King Mohammed VI, Commander of the Faithful, accompanied by HH Prince Moulay Ismail, in the presence of Tanzanian Prime Minister Kassim Majaliwa, launched, on Tuesday, the construction works of a new mosque in Dar es Salaam, which the sovereign named "the Mohammed VI Mosque".

This royal decision came as a response to a request by Mufti Sheikh Abu-Bakr Ibn Zubayr Benali, President of the National Muslim Council of Tanzania, who expressed the need for a mosque and its facilities in Dar es Salaam.


Afterwards, the Chairman of the National Muslim Council of Tanzania, who is also a founding member of the Mohammed VI Foundation for African Ulema, gave a speech wherein he expressed his thanks and gratitude to HM the King for building a grand mosque in Dar es Salaam and naming it after him.

Later on, a cooperation agreement in the field of religious affairs was concluded and signed between the Mufti and the Moroccan Minister of Religious Endowments and Islamic Affairs Ahmed Toufiq.

It covers traditional education, religious foundations, construction and management of mosques, exchange of experiences, and other forms of cooperation which aim to preserve authentic Islamic values and help prevent all forms of deviation and extremism.

© MoroccoWorldNews.com

@ chiembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…