Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

1711450344061.png
 
Kwani nyumba za ibada zinajengwa na misaada, au kuchangishana waumini na kujenga. Wakazi wa ilo eneo si mngechanga ndo mje hapa mseme
 
Mungu atakulipa Shekh Jongo umeona usife na hii dhambi umeona ni bora waislamu wakaujua ukweli. Naona Mufti ameogopa kabisa kuliweka wazi hili najua mlipata vitisho ndiomaana mliona ni kheri msiuseme ukweli huu ila umeona bora usife ukiwa na dhambi hii maana nyie ndo mko jikoni na mnajua kila kitu cha bakwata kwenye hili Allah atakulipa inshaallah
 
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.

Iwe bhojo!
View attachment 2945023
Bora Mwamba alitubu kabla ya Kufa
 
P
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.

Iwe bhojo!
View attachment 2945023
Ni sawa ajenge muislam, kwanini ajenge kafir?
 
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.

Iwe bhojo!
View attachment 2945023
Wabongo wanafiki sana! Huyo JK katoka madarakani 2015 mbona hakujenga na 2020 JPM ndo alikagua ujenzi wa Msikiti!
 
ila kama kuna binadamu anaishi kwa mateso hii dunia ni kikwete, seems like has always something to prove, I mean, huyu jamaa amekuwa raisi kwa miaka 10 lkn bado anaona kama kuna pengo kwenye maisha yake, kuna watu wanahitajia therapist kwa maana unashindana hata mtu aliyekwisha kufa na hata rudi tena? Duh …
Umenena hakika!
Familia ya Kikwete itaingia kwenye Rekodi ya Rais aliyevunja rekodi ya tamaa katika historia ya Tanzania.
KIKWETE-Ni Rais mstaafu na mshika remote muhimu wa Saa100.na analipwa mshahara na marupurupu mengineyo kwa 80% ya Rais aliyepo madarakani.
SALMA KIKWETE-Ni mke wa Rais mstaafu,Mbunge na pia analipwa mafao aliyojipendekezea yeye binafsi bungeni ya "wenza wa wastaafu"
RIDHIWANI KIKWETE -Ni mbunge na pia waziri mwandamizi katika Serikali ya JMT.

Na baaado harifhiki......
Iko siku hawa watakuja kukimbilia ughaibuni....
Time Will Tell.....
 
Sasa hawa wanafki wamefunga kitu gani ? naona mna jisahaulisha kama Magufuli alithibitisha kuomba huo msikiti mbele ya waandishi wa habari na mfalme wa Morocco akiwepo na alikua ana tafsiliwa kwa kifaransa kwa hiyo alielewa alichokua anaongea Magufuli kwa nini hakupinga pale? na kwa nini mufti alimshukuru Magufuli kwa kuwaombea msikiti? wakae kimya kama hawana Cha kuongea
 
acheni unafiki huo huyo mzee kakosa la kusema kwanini hakusema wakati yupo na mpaka muft alisema mwenyewe kuwa magufuli ndiyo aliomba ujengwe inamaana huyu jamaa na mufti nani muongo?
Sana, ni waongo sana na Mtume S.A.W anawaona. Toba Mwezi mtukufu huu!

Kuna jambo, ukiona huu upindishi wa kuzua taharuki za mitandaoni, kuna jambo, teua tengua hazitoshi.
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=cQtjiGMA5h8

Kwa hivyo hapo wakati JPM anaeleza mbele ya mfalme mwenyewe kamuomba ajenge msikiti Dar na mfalme kusema kakubali ataanza ujenzi mara moja mbele ya dunia ilikuwa cinema tu.

Mbona huyo mfalme hatukumuona akija wakati wa JK.

Mpe mtu sifa zake, yaani binadamu yoyote muungwana awezi pokea credit ambazo sio zake, hata ‘bi tozo’ siku alipoenda JNHPP Makamba na Chande walimpamba we kwa ujenzi wa bwawa, aliposhika tu kipaza sauti akawaambia wananchi anaestahili pongezi zaidi za mradi ni hayati sio yeye.

Hivi unawezaje kuishi na amani kwa kuchukua credit ambazo sio zako, au unapungukiwa nini kwenye maisha yako kumpa mtu credit zake hata kama umkubali.

Wazungu wanamsemo ‘kama una jambo jema la kumsemea mtu ni bora usimuongelee kabisa’.

Hizi chuki za Magufuli kwa watu wengine ni mental issues sasa, hata Lissu aliepewa majeraha awamu ya tano pamoja na kumponda Magufuli kila siku, lakini kuna wasaa mafanikio yake atasema hilo ni la Magufuli si la hawa wa Sasa.

Uwezi kumchukia mtu hivyo especially marehemu hiyo ni psychological problem sasa.
 
Nafikiri kama Taifa tuna tatizo zito linalofukuta na kuna watu wanachochea. Shekhe kusimama msikitini kuongea haya leo nini anatafuta?

Anyway, muda ni mwalimu mzuri.

Bado wanaendelea kupambana naye, mara miradi aliacha wakati iko 30%, mara hakuomba msikiti, yaani wanaweweseka kutwa kucha.
 
Hapa umetupiga. Ni Dar - Dodoma - Utawala wa JpM
Dodoma - Singida - Tabora - Shinyanga - Mwanza - Utawala wa Samia
Tunapoongea tunaongea kuhusu mleta maono!

Wewe unaleta Porojo za Uchawa.
Hawa wanafanya muendelezo wa wazo la JPM na hata Samia anaongea hivyo.
Who are you out there kuja kupinga???
 
Back
Top Bottom