Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Huyo mfalme kafanana kabisa na wale wamedakwa huko Urusi kwa ugaidi juzi.
 
Sheikh kajichanganya. Ukweli umedhihiri atafute kichaka kingine Cha kujificha.
Ndugu zangu,

UKWELI WA HISTORIA YA UJENZI WA MSIKITI WA MFALME HASSAN WA MOROCCO

Sheikh Hamid Jongo katika video hiyo hapo juu anaeleza kuwa Msikiti wa Mfalme Hassan wa Morocco ujenzi wake haukuombwa na Rais Magufuli.

Sheikh Jongo anawaeleza Watanzania kuwa msikiti huu uliombwa na Rais Kikwete wakati alipokuwa madarakani.

Wako wengi wakijua ukweli huu lakini walikuwa kimya walipomsikia Rais Magufuli akisema kuwa yeye ndiye aliyeuomba msikiti huo kwa Mfalme Hassan awajengee Waislam wa Tanzania.

Ukimya huu ulitokana na kuwa ikiwa wenyewe BAKWATA wanajua ukweli wa kujengwa kwa msikiti ule na wako kimya ukweli unapopotoshwa hapana haja ya kuzungumza na kuzua taharuki pasi na sababu.

Hili sasa limekwisha.
Ukweli umedhihiri.

Sasa tuje kwenye historia yenyewe ya BAKWATA.

Inasemwa kuwa BAKWATA iliundwa na Waislam ambao hawakuwa wanaitaka EAMWS.

Waislam wanaujua ukweli wa nani aliunda BAKWATA na kwa nini EAMWS ilivunjwa.

Historia ya ujenzi wa Msikiti wa Mfalme Hassan inafanana na historia ya kuundwa kwa BAKWATA.

Uongo unasemwa na kuenezwa na BAKWATA wenyewe wanajua ukweli lakini wanakaa kimya na kuukubali uongo.

Wanataka Waislam waamini kuwa BAKWATA imeundwa na wao.

Kama alivyojitokeza Sheikh Jongo kueleza ukweli wa Msikiti wa Mfalme Hassan kwa kuapa iko siku In Shaa Allah BAKWATA wataeleza ukweli nani kaunda BAKWATA na kwa sababu gani.

Ukweli siku zote ni wenye kuelea juu ya uongo.

Ndugu zangu,
Hii hapo chini itasaidia kuelewa mengine katika mambo haya:

"Magufuli alikuwa Simba wa yuda na pia hukupenda kushaulika akiamua tampoteza mtu lazima auwae" Samia(2021)
Hayo ni maneno yako unaweza leta ushahidi wa mama Samia kuhusu kumpoteza au kukua mtu? Na je mnafiki pekee katika dini ndo atakiogopa kifo
 
Mashekhe ubwabwa na bahasha
 
Hayo ni maneno yako unaweza leta ushahidi wa mama Samia kuhusu kumpoteza au kukua mtu? Na je mnafiki pekee katika dini ndo atakiogopa kifo
Wewe mpumbavu zako , ukiona quotes with citation niushaidi tosha hiyo ni direct speech ..by the way how far have you gone with school?
 
Wewe ndo jinga zoba kwaiyo mtu yoyote akiamua quotation ndo ushahidi harafu unajua citation nini na hapo umeitumia wapi? Wewe ni product ya madhara ya vyuo vya kata
 
Mwendazake alikuwa Muongo sana..
Anadanganya alafu anchombeza "au nasema uongo ndugu zanguuu?.. msema kweli ni mpenzi wa Mungu"
Kabisa....jamaa alikubuhu kwa uongo, alikuwa baba wa uongo wa Afrika
 
If you can't substiate citation and referencee your just a crap lard
Wewe ndo jinga zoba kwaiyo mtu yoyote akiamua quotation ndo ushahidi harafu unajua citation nini na hapo umeitumia wapi? Wewe ni product ya madhara ya vyuo vya kata
 
Ukitaja mabilionea 10 wa Ukweli nchini Tanzania unaweza kukuta wote ni Waislam

Swali

Ilikuwaje Msikiti wao Mkuu pale Kinondoni kimbweru ujengwe kwa Msaada?

Isingewezekana kuujenga wao wenyewe?

Ramadan Kareem

cc: Malaria 2 Pohamba FaizaFoxy
 
Tatizo la wao

Tatizo kubwa la waislam Tanzania hawana uongozi imara wanaotaka maendeleo ya waislam. Waislam wakipata Taasisi inayotaka maendeleo ya waislam, waislam watakuwa na vyuo vikuu zaidi ya l00 Tanzania. Mahospital ya kumwaga. Waislam wengi wameekeza ktk mipira jambo Sui zuri.
Wakiristo watakua nyuma ya waislam. Tatizo uongozi tu
Nb
Waislam kujengewa msikiti sio tatizo kabisa. Huyo jamaa katoa sadakat ljaria
 
Hao waislamu wengi hawana asili ya kibantu wala nilo hamits. . Hawana muda na maendeleo ya waislamu wabantu na wanilotis.
 
Tatizo la wao
Tatizo kubwa la waislam Tanzania hawana uongozi imara wanaotaka maendeleo ya waislam. Waislam wakipata Taasisi inayotaka maendeleo ya waislam, waislam watakuwa na vyuo vikuu zaidi ya l00 Tanzania. Mahospital ya kumwaga. Waislam wengi wameekeza ktk mipira jambo Sui zuri.
Wakiristo watakua nyuma ya waislam. Tatizo uongozi tu
Nb
Waislam kujengewa msikiti sio tatizo kabisa. Huyo jamaa katoa sadakat ljaria
Sadakat lijaria
 
Ili impact ya utajiri uonekane katika maendeleo, basi ni lazima huo utajiri ufike katika society and community level(utajiri katika ngazi ya Jamii). wakristo wabantu wanaonekana wana ahueni kuliko Waislamu wabantu kwa sababu ahueni hiyo ipo katika ngazi ya Jamii kielimu, kiafya,kibiashara. Hakuna Super Rich Wakristo nchi hii lkn kuna unafuu kwa pamoja kama jamii.
Hata tukija kwa makabila, wachagga na wakinga wamefikisha unafuu katika ngazi ya Jamii. Kuna Wasukuma na Wahaya wenye pesa nyingi lkn hawaonekani na haizungumzwi kama kabila lenye pesa kwa sababu pesa hizo na maendeleo bado hazijafika katika ngazi ya Jamii.
 
Ukitaja mabilionea 10 wa Ukweli nchini Tanzania unaweza kukuta wote ni Waislam

Swali

Ilikuwaje Msikiti wao Mkuu pale Kinondoni kimbweru ujengwe kwa Msaada?

Isingewezekana kuujenga wao wenyewe?

Ramadan Kareem

cc: Malaria 2 Pohamba FaizaFoxy
Ingependeza sana ungesema Waislam wenye asili ya Asia ndo matajiri lakini sio hawa wabantu!
 
Back
Top Bottom