Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Ajabu sana, wewe ni chawa wa hovyo kabisa.

Eti "mema matatu tu"

Nyie wapuuzi ndio mnaamini mpaka taarifa za uongo ilimradi mumseme vibaya Magufuli, ajabu mnaendelea kuamini huo uongo hata pale teknolojia inapowaumbua, mko cheap sana!.
JPM alikuwa Konyo kabisa
 
Yaaaani kuna habari humu jukwaaani zinatia mpka aibu hata kusoma hovyo sana
 
JPM alikuwa Konyo kabisa
Naona matusi ndio umebaki nayo baada ya mihemko yako ya kuanzisha uzi kuumbuliwa kwa ushahidi uliowekewa.
Wewe akili zako aliondoka mazo Magufuli kama za Etwege hakuna namna tunaweza kuwasaidia.
Akili zipi alizoondoka nazo Magufuli wakati nimekuonesha ujinga wako umeshindwa kuujibu!

Simply wewe ni msukule tu, ukiona jina Magufuli mapepo yanakupanda.
 
Naona matusi ndio umebaki nayo baada ya mihemko yako ya kuanzisha uzi kuumbuliwa kwa ushahidi uliowekewa.Akili zipi alizoondoka nazo Magufuli wakati nimekuonesha ujinga wako umeshindwa kuujibu!

Simply wewe ni msukule tu, ukiona jina Magufuli mapepo yanakupanda.
Na wewe ukiona Stuxnet anapiga spana unapata tumbo la hedhi hapo hapo
 
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.

Iwe bhojo!

Tunachompendea Mkwere ni ubingwa wa fitina.

Hii nchi haitopona endapo wanafiki wataendelea kueneza unafiki wao
 
Huo ni unafiki kwanini hakusema wakati magufuli yupo hatuwezi kusikiliza maneno ya upande mmoja tu kama kwenye kanga angesema na Magufuli yupo ili tusikie naye atasemaje hapo mzee umefeli pakubwa sanaaaaaaaaaa
DODOMA ALICHANGISHA HELA KANISA KATOLIKI ILI KUFANIKISHA UJENZI WA MSIKITI...Kyela ALIPIGISHA Harambee ya ghafla ili MSIKITI ujengwe....
 
Sana, ni waongo sana na Mtume S.A.W anawaona. Toba Mwezi mtukufu huu!

Kuna jambo, ukiona huu upindishi wa kuzua taharuki za mitandaoni, kuna jambo, teua tengua hazitoshi.
Ongea mambo uliyo na ujuzi nayo Mohammad amekufa sasa anaonaje?
 
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.

Iwe bhojo!

uchawa tu na udini wakati mwingine unaendelea, mbona wanamlundikia sifa mama kwa miradi aliyoanzisha magufuli. Hata kama ni kweli juhudi zilianza tangu kikwete mbona hawasemi kama aliyekua anaombwa msaada ni mfalme wa morocco. Na kama sio magufuli akiwa rais kumuomba hadharani mfalme msikiti huo ungeweza kujengwa? Ujinga wa ndugu zetu akiingia urais mtu wao hata akiwa a sera gani hata kushirikiana na mafisadi au mabeberu kudhulumu wanyonge wao wanamtetea tu.
 
Mema Gani??
Huyu Dikteta aliwaharibu sana KIFIKRA na itachukua muda kuwarudisha kwenye akili zenu. Tatizo 90% ya Watanzania ni wajinga na walikuwa ndiyo mtaji wa Magufuli
Ww ulikuwa unaishi nchi gani wakati huo.
 
View attachment 2945052
Wakuu,

Mwenzenu naona aibu sana. Jinsi Magufuli alivyokuwa akijitapa mara atembelee Msikiti huku kavaa Kanzu, Mara amtume Makonda, mara aipige biti. Nimeona aibu sana kwa jinsi alivyokuwa akijitapa.

Kuna siku alisema eti, Mfalme wa 6 wa Morocco alipokuakuja nikamuomba Msikiti. "Akashangaa ananiangalia machoni", nikamuuliza nini? Akasema nimeshangaa Mkristo unaomba Msikiti.

Sasa BAKWATA Wamevunja ukimya na kuweka Kumbukumbu sawa.

Wamesema aloomba Msikiti ni Jakaya Kikwete. Magufuli alikuwa anafanya siasa tu.
View attachment 2945053
Sasa kwanini Hayati Magufuli atafute kiki kwa Msikiti badala ya Makanisa?

Mimi niliikuwa nashangaa. Mafuli awe na moyo wa kuomba Msikiti halafu Watu kila siku watekwee na kupotea?

Asante sana BAKWATA. Sasa nimeanza kuwqamini.

TAKBIR.
Toka lini umeona Wakristo wanaomba msaada wa kujengewa Kanisa?
 
Na wewe kale wakunyooshe..zanzibari ni nchi ya waislam inabidi ufate utaratibu huu muungano ni boshen tu..kwan kuna kiongozi gani mkubwa mkristo zenji?
 
Kwenye uislamu tunaamini misikiti yote ni ya Allah.

As long as unaswaliwa na waislamu hayo mengine hayana haja ya kujua.
Al Aqsa Roman waliujenga for Jews and After Omary ukageuzwa Msikiti je Nyumba ya Wayahudi nayo ni Nyumba ya Allah..

Istambul Kanisa kubwa liligeuzwa kuwa nyumba ya ibada za kiislam wakiuita Msikiti.. So Kanisa nalo ni Nyumba ya Allah?
 
Msikilize tena Shekh, kaeleza vizuri, ombi alilitoa Jk majibu yakaja wakati wa JPM. Kwa usanii wa JPM akajivika sifa yeye. Asante sana JK kwa jitahada zako.
 
Back
Top Bottom