Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sasa huyu Sheikh ubwabwa tuna mweka kundi gani.Sheikh Mkuu Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amewavaa na kukemea vikali kitendo cha baadhi ya watu kumshambulia na kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan huku akidai kufanya hivyo kunaweza kumwathiri Rais katika kufanya na kutekeleza maamuzi.
Akizungumza wakati wa dua maalumu ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na amani ya taifa kuelekea uchaguzi mkuu 2025, Sheikh Kabeke amesema kumshambulia na kumtukana Rais kunaweza kupelekea athari pia kwa wananchi.
Hata hivyo Sheikh Kabeke amewataka wananchi kuendelea kuviombea vyombo vya ulinzi na usalama badala ya kujikita kulaumu akidai kufanya hivyo kunaweza kuwavunja moyo na kupelekea taifa kuyumba.
"Sisi tumeamua tukae pamoja leo tumefunga tuwaombee dua vyombo vya ulinzi na usalama tunadhani hili ndilo suluhisho badala ya kuvilaumu, kuvivunja moyo, mfano hapa karibu yametokea mambo ambayo yanapelekea kuwavunja moyo ambapo tunawaomba wasivunjike moyo, vikivunjika moyo taifa letu litayumba," amesema Sheikh Kabeke
Anachanganya dini na siasa ilitakiwa apime mkojo na kufungiwqSheikh Mkuu Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amewavaa na kukemea vikali kitendo cha baadhi ya watu kumshambulia na kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan huku akidai kufanya hivyo kunaweza kumwathiri Rais katika kufanya na kutekeleza maamuzi.
Akizungumza wakati wa dua maalumu ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na amani ya taifa kuelekea uchaguzi mkuu 2025, Sheikh Kabeke amesema kumshambulia na kumtukana Rais kunaweza kupelekea athari pia kwa wananchi.
Hata hivyo Sheikh Kabeke amewataka wananchi kuendelea kuviombea vyombo vya ulinzi na usalama badala ya kujikita kulaumu akidai kufanya hivyo kunaweza kuwavunja moyo na kupelekea taifa kuyumba.
"Sisi tumeamua tukae pamoja leo tumefunga tuwaombee dua vyombo vya ulinzi na usalama tunadhani hili ndilo suluhisho badala ya kuvilaumu, kuvivunja moyo, mfano hapa karibu yametokea mambo ambayo yanapelekea kuwavunja moyo ambapo tunawaomba wasivunjike moyo, vikivunjika moyo taifa letu litayumba," amesema Sheikh Kabeke
Tatizo ni malezi wakati mwingine...Nani kamtukana? Matusi ninini?
Na wewe tukuweke kundi gani?Sasa huyu Sheikh ubwabwa tuna mweka kundi gani.
Mjinga.
Mpumbavu.
Chawa.
Punguani.
Mbulula.
Mpuuzi.
October tunatiki.No Reforms No Election
punguza hasira🤣Your comment is awaiting moderation. This is a preview; your comment will be visible after it has been approved.
BAKWATA ni wapuuziSheikh Mkuu Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amewavaa na kukemea vikali kitendo cha baadhi ya watu kumshambulia na kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan huku akidai kufanya hivyo kunaweza kumwathiri Rais katika kufanya na kutekeleza maamuzi.
Akizungumza wakati wa dua maalumu ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na amani ya taifa kuelekea uchaguzi mkuu 2025, Sheikh Kabeke amesema kumshambulia na kumtukana Rais kunaweza kupelekea athari pia kwa wananchi.
Hata hivyo Sheikh Kabeke amewataka wananchi kuendelea kuviombea vyombo vya ulinzi na usalama badala ya kujikita kulaumu akidai kufanya hivyo kunaweza kuwavunja moyo na kupelekea taifa kuyumba.
"Sisi tumeamua tukae pamoja leo tumefunga tuwaombee dua vyombo vya ulinzi na usalama tunadhani hili ndilo suluhisho badala ya kuvilaumu, kuvivunja moyo, mfano hapa karibu yametokea mambo ambayo yanapelekea kuwavunja moyo ambapo tunawaomba wasivunjike moyo, vikivunjika moyo taifa letu litayumba," amesema Sheikh Kabeke
Sheria za JF zinanibana ningemtumia video clips kutoka kenyaSheikh Mkuu Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amewavaa na kukemea vikali kitendo cha baadhi ya watu kumshambulia na kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan huku akidai kufanya hivyo kunaweza kumwathiri Rais katika kufanya na kutekeleza maamuzi.
Akizungumza wakati wa dua maalumu ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na amani ya taifa kuelekea uchaguzi mkuu 2025, Sheikh Kabeke amesema kumshambulia na kumtukana Rais kunaweza kupelekea athari pia kwa wananchi.
Hata hivyo Sheikh Kabeke amewataka wananchi kuendelea kuviombea vyombo vya ulinzi na usalama badala ya kujikita kulaumu akidai kufanya hivyo kunaweza kuwavunja moyo na kupelekea taifa kuyumba.
"Sisi tumeamua tukae pamoja leo tumefunga tuwaombee dua vyombo vya ulinzi na usalama tunadhani hili ndilo suluhisho badala ya kuvilaumu, kuvivunja moyo, mfano hapa karibu yametokea mambo ambayo yanapelekea kuwavunja moyo ambapo tunawaomba wasivunjike moyo, vikivunjika moyo taifa letu litayumba," amesema Sheikh Kabeke
Ustadh aache uchawa! Samia The Killer akiacha njia zake chafu za kusigina haki za Watanzania, hakuna atakayemtukana. It’s that simple!Sheikh Mkuu Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amewavaa na kukemea vikali kitendo cha baadhi ya watu kumshambulia na kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan huku akidai kufanya hivyo kunaweza kumwathiri Rais katika kufanya na kutekeleza maamuzi.