Sheikh Kabeke: Unapomtukuna Rais unakuwa umeathiri Watanzania

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Sheikh Mkuu Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amewavaa na kukemea vikali kitendo cha baadhi ya watu kumshambulia na kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan huku akidai kufanya hivyo kunaweza kumwathiri Rais katika kufanya na kutekeleza maamuzi.

Akizungumza wakati wa dua maalumu ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na amani ya taifa kuelekea uchaguzi mkuu 2025, Sheikh Kabeke amesema kumshambulia na kumtukana Rais kunaweza kupelekea athari pia kwa wananchi.

Hata hivyo Sheikh Kabeke amewataka wananchi kuendelea kuviombea vyombo vya ulinzi na usalama badala ya kujikita kulaumu akidai kufanya hivyo kunaweza kuwavunja moyo na kupelekea taifa kuyumba.

"Sisi tumeamua tukae pamoja leo tumefunga tuwaombee dua vyombo vya ulinzi na usalama tunadhani hili ndilo suluhisho badala ya kuvilaumu, kuvivunja moyo, mfano hapa karibu yametokea mambo ambayo yanapelekea kuwavunja moyo ambapo tunawaomba wasivunjike moyo, vikivunjika moyo taifa letu litayumba," amesema Sheikh Kabeke

Sasa huyu Sheikh ubwabwa tuna mweka kundi gani.

Mjinga.
Mpumbavu.
Chawa.
Punguani.
Mbulula.
Mpuuzi.
 
So Rais akitukanwa watanzania million 60 Wana athirika,Je Maamuzi Mabovu anayofanya Rais,mikataba mibovu anayoingia,Mikopo anayochukua,athari yake itagusa watanzania wangapi? vizazi vingapi vya baadae??

Anhaa Kuna adithi ya watoto inaitwa The Lion,the witch and audacity of this b***
 
A
Sheikh Mkuu Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amewavaa na kukemea vikali kitendo cha baadhi ya watu kumshambulia na kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan huku akidai kufanya hivyo kunaweza kumwathiri Rais katika kufanya na kutekeleza maamuzi.

Akizungumza wakati wa dua maalumu ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na amani ya taifa kuelekea uchaguzi mkuu 2025, Sheikh Kabeke amesema kumshambulia na kumtukana Rais kunaweza kupelekea athari pia kwa wananchi.

Hata hivyo Sheikh Kabeke amewataka wananchi kuendelea kuviombea vyombo vya ulinzi na usalama badala ya kujikita kulaumu akidai kufanya hivyo kunaweza kuwavunja moyo na kupelekea taifa kuyumba.

"Sisi tumeamua tukae pamoja leo tumefunga tuwaombee dua vyombo vya ulinzi na usalama tunadhani hili ndilo suluhisho badala ya kuvilaumu, kuvivunja moyo, mfano hapa karibu yametokea mambo ambayo yanapelekea kuwavunja moyo ambapo tunawaomba wasivunjike moyo, vikivunjika moyo taifa letu litayumba," amesema Sheikh Kabeke

Anachanganya dini na siasa ilitakiwa apime mkojo na kufungiwq
 
Attachments

  • 20250612_190153.jpg
    20250612_190153.jpg
    93 KB · Views: 35
Mimi sio mdini ila hawa jamaa wanawafedhehesha sana Kobazi.
 
Gwajima alikemea kutekwa watu akaambiwa kachanganya siasa na dini ... Huyu nae tumuiteje???? Kwa akili hizi
Siku MOJA nyuma ya msikiti ataleta Banda la nguruwe afuge
 
Sheikh Mkuu Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amewavaa na kukemea vikali kitendo cha baadhi ya watu kumshambulia na kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan huku akidai kufanya hivyo kunaweza kumwathiri Rais katika kufanya na kutekeleza maamuzi.

Akizungumza wakati wa dua maalumu ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na amani ya taifa kuelekea uchaguzi mkuu 2025, Sheikh Kabeke amesema kumshambulia na kumtukana Rais kunaweza kupelekea athari pia kwa wananchi.

Hata hivyo Sheikh Kabeke amewataka wananchi kuendelea kuviombea vyombo vya ulinzi na usalama badala ya kujikita kulaumu akidai kufanya hivyo kunaweza kuwavunja moyo na kupelekea taifa kuyumba.

"Sisi tumeamua tukae pamoja leo tumefunga tuwaombee dua vyombo vya ulinzi na usalama tunadhani hili ndilo suluhisho badala ya kuvilaumu, kuvivunja moyo, mfano hapa karibu yametokea mambo ambayo yanapelekea kuwavunja moyo ambapo tunawaomba wasivunjike moyo, vikivunjika moyo taifa letu litayumba," amesema Sheikh Kabeke

BAKWATA ni wapuuzi
 
Sheria za JF zinanibana ningemtumia video clips kutoka kenya
 
Ustadh aache uchawa! Samia The Killer akiacha njia zake chafu za kusigina haki za Watanzania, hakuna atakayemtukana. It’s that simple!
 
Back
Top Bottom