Sheikh mpuuzi huyo hana elimu sio kila anayevaa kanzu na kikemba ni Sheikh.
Hakuna shida kula chakula cha mkiristo au mtu yeyote sisi tunakula na kupeana .
Shida je , chakula kimepikwa kwa ajili ya jambo gani ? sio X_mass tu hata ikiwa Muislamu kafanya Sherehe kwa ajili ya mizimu na kafara za majini hatuli sababu chakula kimepikwa Cha ajili ya ibada ya kishirikina .
X_ mass Wakristo wanasema Nabii Yesu (Amani iwe juu yake ) ni Mwana wa Mungu wengine wengine wakisema ni Mungu jambo ambalo ni kufuru kubwa na ni kama kumtusi Allaah sasa Muislamu anayejielewa utakula vipi chakula cha kusheherekea kuzaliwa Mungu si sawa na kuunga mkono na kusapoti ?
Leo hii Mimi niandae party ya kumtukana Mama yako mzazi wewe utakula hiko chakula na utaginga glass kisa ni chakula tu ?