Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wewe nenda shule ukasome kwanza. Shule ya madrasa haitakusaidia kuwa critical thinker. Sijui ata kama unaelewa maana ya critical thinkerSheikh Hilal Shawej maarufu kama Kipozeo amesema haki haiwezi kupatikana bila kuwepo kwa amani na utulivu katika jamii, akibainisha kuwa amani ndiyo nguzo kuu ya maendeleo na ustawi wa taifa.
Akizungumza siku ya Alhamisi, Desemba 25, Sheikh Kipozeo amesema Watanzania wanapaswa kumshukuru Mwenyezimungu kwa kuijalia nchi kuendelea kuwa na usalama na amani, akitofautiana na hoja za baadhi ya viongozi wa Kikristo wanaodai kuwa haki ni bora kuliko amani.
“Ukisema haki ni bora kuliko amani, unatatanisha kidogo, kwa sababu hiyo haki utaipata vipi bila ya amani kwanza? Haki haiwezi kupatikana bila ya amani. Amani na utulivu ndiyo kila kitu, bila amani kila kitu kinavurugika,” amesema Sheikh Kipoozeo.
Ameeleza kuwa hata madai ya haki hayawezi kufanikiwa endapo hakuna mazingira ya amani, akisisitiza kuwa amani ndiyo inayowezesha taasisi, mifumo ya kisheria na kijamii kufanya kazi kwa ufanisi.
Aidha, amewakumbusha Waislamu wajibu wao wa kidini wa kukataza maovu na kuamrisha mema, akisema misingi hiyo ya dini ndiyo chachu ya kudumisha amani na utulivu katika jamii.
Swali kwa kipozeo na wote wanaoubili amani amaniSheikh Hilal Shawej maarufu kama Kipozeo amesema haki haiwezi kupatikana bila kuwepo kwa amani na utulivu katika jamii, akibainisha kuwa amani ndiyo nguzo kuu ya maendeleo na ustawi wa taifa.
Akizungumza siku ya Alhamisi, Desemba 25, Sheikh Kipozeo amesema Watanzania wanapaswa kumshukuru Mwenyezimungu kwa kuijalia nchi kuendelea kuwa na usalama na amani, akitofautiana na hoja za baadhi ya viongozi wa Kikristo wanaodai kuwa haki ni bora kuliko amani.
“Ukisema haki ni bora kuliko amani, unatatanisha kidogo, kwa sababu hiyo haki utaipata vipi bila ya amani kwanza? Haki haiwezi kupatikana bila ya amani. Amani na utulivu ndiyo kila kitu, bila amani kila kitu kinavurugika,” amesema Sheikh Kipoozeo.
Ameeleza kuwa hata madai ya haki hayawezi kufanikiwa endapo hakuna mazingira ya amani, akisisitiza kuwa amani ndiyo inayowezesha taasisi, mifumo ya kisheria na kijamii kufanya kazi kwa ufanisi.
Aidha, amewakumbusha Waislamu wajibu wao wa kidini wa kukataza maovu na kuamrisha mema, akisema misingi hiyo ya dini ndiyo chachu ya kudumisha amani na utulivu katika jamii.
Watu wanapigana ili wapate Haki. Sijasikia watu wakipigana ili wapate amani. Wakipata haki ndio wanaacha kupigana na amani inatawala.Sheikh Hilal Shawej maarufu kama Kipozeo amesema haki haiwezi kupatikana bila kuwepo kwa amani na utulivu katika jamii, akibainisha kuwa amani ndiyo nguzo kuu ya maendeleo na ustawi wa taifa.
Akizungumza siku ya Alhamisi, Desemba 25, Sheikh Kipozeo amesema Watanzania wanapaswa kumshukuru Mwenyezimungu kwa kuijalia nchi kuendelea kuwa na usalama na amani, akitofautiana na hoja za baadhi ya viongozi wa Kikristo wanaodai kuwa haki ni bora kuliko amani.
“Ukisema haki ni bora kuliko amani, unatatanisha kidogo, kwa sababu hiyo haki utaipata vipi bila ya amani kwanza? Haki haiwezi kupatikana bila ya amani. Amani na utulivu ndiyo kila kitu, bila amani kila kitu kinavurugika,” amesema Sheikh Kipoozeo.
Ameeleza kuwa hata madai ya haki hayawezi kufanikiwa endapo hakuna mazingira ya amani, akisisitiza kuwa amani ndiyo inayowezesha taasisi, mifumo ya kisheria na kijamii kufanya kazi kwa ufanisi.
Aidha, amewakumbusha Waislamu wajibu wao wa kidini wa kukataza maovu na kuamrisha mema, akisema misingi hiyo ya dini ndiyo chachu ya kudumisha amani na utulivu katika jamii.
Amani inaweza kuwepo Kama wadhulumiwa haki wakiamua kuwa magoigoiNa amani pia haipatikani bila haki, mbona ana double standards huyu sheikh ubwabwa
Bila Amani huwezi pata Haki. Lazima ujue kuwa Haki inatokana na kuwepo kwa sheria na taratibu kwenye jamii iliyo na amani.Hawa huwa wanajitoa tu ufahamu lakini ukweli ni Haki ndiyo Ina leta amani.
Acha ulofa, Tanzania hakuna AMANI?Bila Amani huwezi pata Haki. Lazima ujue kuwa Haki inatokana na kuwepo kwa sheria na taratibu kwenye jamii iliyo na amani.
Nchi zote zilizokosa Amani haziwezi kuwa na Haki, nenda nchi zilizonamapigano kama Sudani, Somalia nk kama utapata haki. Hawa Maaskofu wa RC wanawapumbaza waumini wao tu ambao hawajitambui lakini sisi tunaojitambua hatukubaliani nao.
Waulizeni kwanini kwenye Misa huwa kuna kupeana Amani ya Bwana kwa kupeana mikono? Kwanini hatupeani Haki ya Bwana?