Sheikh kipozeo (mzee wa Neema za Allah) kumchana diamondplatnumz live

Sheikh kipozeo (mzee wa Neema za Allah) kumchana diamondplatnumz live

Unayoyasema ni sahihi katika mtizamo wa kidunia lakini sio sahihi kabisa katika mtizamo wa kidini...diamond inajulikana ni muumini wa dini ya kiislamu,sasa kama viongozi wa dini wanaona kijana anakoelekea siko,yaani anavuka mipaka,basi ni wajibu wao kumkumbusha ili arudi kwenye mstari au asijisahau sana.

Kama ameamua kuibeba dunia mazima,basi ajipambanue tu ili hao masheikh waache kumfuatilia au kumkumbusha...ikiwezekana ajitangaze tu kama ameritadi ili awe huru,maana kwenye ukristo au dini nyengine sheria zimelegezwa kidogo kulinganisha na huku kwenye Uislamu.

Mkuu labda niseme hakuna dini ambayo imelegeza sheria zake.
Ni Watu ndio wanaolegeza sheria za dini katika kuziishi kwa uaminifu.

Uumini wa Dai na aina ya maisha anayoishi havitafsiri kua dini yake ya asili imelegeza sheria zake ama imempa yeye previledge ya kuishi atakavyo ikilinganisha na waumini wengine.

Wimbo alioimba utakuja kupitwa na wakati. Time is a factor.

Msalaba unajulikana kua ni wa imani ya ukristo lakini

Vipi kuhusu hiyo michoro ya Tatoo za mwilini na rasta, kuhifadhi Mafuvu, Na maisha yake ya uzinzi?

Wako wapi sceptics.
Au ndio upendeleo maalumu?

Ifike steji Tutambue sanaa ni kazi kama zingine za maofisini. Tuweze kutenganisha kazi na itikadi ya mtu.
 
Shekhe asiumize kichwa na Dimond kwani moja kwa moja ni kafiri aliye Mnafki ambaye ni mmbaya zaid, sioni haja ya kushangaa kwa hayo baya zaid yy kujiunga na FREEMASON yatosha kuwa kafiri
Akemee wote wanaoimba mziki kuanzia tid, diamond, alikiba, juma nature, harmonize, madee almost wasanii wote maana mziki haukubariwi katika Uislamu.
 
Asili ya Yesu na ndugu zake waiziraeli ni waarabu wajukuu wa Ibrahim mtu wa iraq
Hebu wajuzi wa mambo wanisaidie.

Kama wanayemuita Nabii Isa ndio huyohuyo Jesus?

Na je alikuwa Mtasha a.k.a mzungu au Mwarabu? maana najua Mtasha asingeitwa Isa na Mwarabu asingeitwa Jesus...au ni Watu wawili tofauti?
 
Akemee wote wanaoimba mziki kuanzia tid, diamond, alikiba, juma nature, harmonize, madee almost wasanii wote maana mziki haukubariwi katika Uislamu.
Mkuu kuna vitu vingi tu waislam wanafanya ni vibaya kuliko kuimba mziki. Vyote ni vya kukemea. Ila vya diamond kuvaa msalaba vimepitiliza.
Si kila saa mziki ni haram. Mana hata qasweeda ni mziki.
 
Mkuu kuna vitu vingi tu waislam wanafanya ni vibaya kuliko kuimba mziki. Vyote ni vya kukemea. Ila vya diamond kuvaa msalaba vimepitiliza.
Si kila saa mziki ni haram. Mana hata qasweeda ni mziki.
Mziki wa kidunia wanaofanya bongo fleva ni haramu, unahusisha wanawake kukaa uchi, pombe wanasifia wizi hata seduce me inaonekana wametoka kufanya uhalifu, wanasifia uzinzi, wanaongelea viungo vya wanawake na ujinga mwingi.
Kama kukemea dhambi akemee kila kitu.
Siyo kila msalaba husimamia ukristo mkuu...
 
Mkuu kuna vitu vingi tu waislam wanafanya ni vibaya kuliko kuimba mziki. Vyote ni vya kukemea. Ila vya diamond kuvaa msalaba vimepitiliza.
Si kila saa mziki ni haram. Mana hata qasweeda ni mziki.
Kwa hiyo uislamu unaruhusu hizo kaswida?.
 
Mziki wa kidunia wanaofanya bongo fleva ni haramu, unahusisha wanawake kukaa uchi, pombe wanasifia wizi hata seduce me inaonekana wametoka kufanya uhalifu, wanasifia uzinzi, wanaongelea viungo vya wanawake na ujinga mwingi.
Kama kukemea dhambi akemee kila kitu.
Siyo kila msalaba husimamia ukristo mkuu...
Kitu chochote kuwa haram inategemea madhara yake kwa jamii husika. Hata ukiimba wimbo wa kukashifu serikali itakua haram kwa serikali hiyo. Lakini ukiisifia unakua halali kwa serekali hiyo hiyo.
Sasa diamond ni super star na ambiwa ni muislam. Kuna watu wangapi wanaomuangalia kama role model wakijua pia ni muislam. Kama alivosema sheikh hapo, watoto wanaimba hallelujah. Pia watavaa misalaba hali ya kuwa wakisema ni waislam. Ni madhara makubwa zaidi.
 
Hatuongelei kwa muktadha wa mambo mengine isipokuwa dini ya Kislamu.
Zingatia hilo...
 
Kwani God na Allah ni wawili walio tofauti? So Jesus na Issah ni mmoja mwenye majina tofauti. Dini ni sawa na vyama, hakuna wa kumsema vzur mwenzake kuhofia kupunguza wanachama kutoka upande mmoja kwenda mwingine?
 
Katika Uislamu dini ni mfumo wote wa maisha anaoishi binadamu hapa duniani.
Basi Sheikh wangu aachane na akina diamond, alikiba na wengine maana mfumo wao wa maisha siyo wa Kislamu basi huenda nao siyo Waislam wenzake.
Watu wengi wanajinasibu kuwa Waislam lakini according to definition ya Uislam siyo Waislam...
I stand to be corrected
 
aliyosema shekhe kipoozeo kuhusu vita yake na Diamond..

vita nzima kati ya Diamond na Mashekhe story nzima...

Msalaba alovaa Diamond haukuwa wa Kikatoliki
 
In short, Yesu alikuwa mwizi wa mbao. Wauza mbao walikuwa wanaibiwa sana, kumbe yule jamaa alikuwa anawalia timing alfajiri wakati usingizi ni mtamu. Walivyoamua kukesha kama Sungusungu mpaka wampate mwizi wao, ndio yule jamaa akaingia mtegoni. Wakamlamba siku moja alfajiri, wakambebesha mbao zake kumpeleka kwa Pirato. Sasa vibaka wenzie wakina Yuda, ndio wakachomekea story za kubebeshwa msalaba kumbe zilikuwa mbao za wizi, na watu kwa umbumbu wao wanaamini mpaka leo. Na huyo Kipozeo hana lolote, jitu jeusi kama mkaa lakini kujitia uarabu. Mbona hatujawahi kumuona mwarabu anacheza Gombe Sugu, huu si ulofa huu?
Eeeeeeh pagan unazitoa wapi hizi story zako coz kila mtu anajaribu Ku refer bible au Qur'an sasa we mwenzetu unatoa wapi hizo story

Anyway hata jina lako linaleta maana flan
 
Hawezi kuwa Mtasha? wewe uliwahi kuona wapi Jesus akitambulishwa kwa muonekano wa Kiarabu?

Maria (Mama Mzazi) mwenyewe anatambulishwa kama Mzungu.
Wayahudi ni more of wazungu
 
Back
Top Bottom