Truths
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,494
- 1,504
Unayoyasema ni sahihi katika mtizamo wa kidunia lakini sio sahihi kabisa katika mtizamo wa kidini...diamond inajulikana ni muumini wa dini ya kiislamu,sasa kama viongozi wa dini wanaona kijana anakoelekea siko,yaani anavuka mipaka,basi ni wajibu wao kumkumbusha ili arudi kwenye mstari au asijisahau sana.
Kama ameamua kuibeba dunia mazima,basi ajipambanue tu ili hao masheikh waache kumfuatilia au kumkumbusha...ikiwezekana ajitangaze tu kama ameritadi ili awe huru,maana kwenye ukristo au dini nyengine sheria zimelegezwa kidogo kulinganisha na huku kwenye Uislamu.
Mkuu labda niseme hakuna dini ambayo imelegeza sheria zake.
Ni Watu ndio wanaolegeza sheria za dini katika kuziishi kwa uaminifu.
Uumini wa Dai na aina ya maisha anayoishi havitafsiri kua dini yake ya asili imelegeza sheria zake ama imempa yeye previledge ya kuishi atakavyo ikilinganisha na waumini wengine.
Wimbo alioimba utakuja kupitwa na wakati. Time is a factor.
Msalaba unajulikana kua ni wa imani ya ukristo lakini
Vipi kuhusu hiyo michoro ya Tatoo za mwilini na rasta, kuhifadhi Mafuvu, Na maisha yake ya uzinzi?
Wako wapi sceptics.
Au ndio upendeleo maalumu?
Ifike steji Tutambue sanaa ni kazi kama zingine za maofisini. Tuweze kutenganisha kazi na itikadi ya mtu.