Mm nilikuwa simjui, naona akiongea km vile anaona aibu anaangalia pembeni anamkwepa zamaradi na kuikwepa kamera, sasa sijui ndo staili yake kwa maana anatema Madini mdomoni anapoongea "mashallah"
Kipindi kilikuwa kizuri sana, pongezi kwa Zamaradi Mketema na uongozi wake, nilizoea kuangalia interview za wasanii wa bongo movie kwenye take one.
Nimejifunza mengi sana km mke bora anakuwa na mambo ma 3.
1. JIKONI mjuzi wa kupika chakula kitamu
2. CHUMBANI mtundu kitandani
3. KAULI NZURI anapoongea na mumewe anaongea maneno matamu, hata km amekasirika nyumbani wamekuja wageni