Sheikh Kipozeo ndani ya Take One ya Clouds TV

Sheikh Kipozeo ndani ya Take One ya Clouds TV

Mashehe wote wangeubili kama huyu hakika uislam ungekuwa dini ya kila mtu kuikimbilia. Napenda kumsikiliza anahubiri mazuri, rehema uzuri wa uislam. Wengine ni vitisho na kuitana majina mabaya.
Kiswahili hujui au kusudi? "wangeubili" ni Lugha ya wapi? Huoni ukakasi kuandika neno hilo vibaya? Hubiri...ndo neno sahihi.
 
Jana baada ya kuangalia interview ya sheikh kipozeo nimegundua ana busara hekima na elimu kubwa ya dini ya kiislamu tofauti na zile clips zilizosambaa zilim specialize sana kwenye mapenzi ila kumbe ana uwezo mkubwa wa kupambanua mambo mengi.. by the way alinifurahisha kuhusu uadilifu upande wa kindani kwa wenye wake zaidi ya mmoja
 
Mm nilikuwa simjui, naona akiongea km vile anaona aibu anaangalia pembeni anamkwepa zamaradi na kuikwepa kamera, sasa sijui ndo staili yake kwa maana anatema Madini mdomoni anapoongea "mashallah"

Kipindi kilikuwa kizuri sana, pongezi kwa Zamaradi Mketema na uongozi wake, nilizoea kuangalia interview za wasanii wa bongo movie kwenye take one.

Nimejifunza mengi sana km mke bora anakuwa na mambo ma 3.
1. JIKONI mjuzi wa kupika chakula kitamu
2. CHUMBANI mtundu kitandani
3. KAULI NZURI anapoongea na mumewe anaongea maneno matamu, hata km amekasirika nyumbani wamekuja wageni
 
Kiswahili hujui au kusudi? "wangeubili" ni Lugha ya wapi? Huoni ukakasi kuandika neno hilo vibaya? Hubiri...ndo neno sahihi.
Dharau!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiki kipindi si uwa ni maalum kwa wanabongo movie? au mi ndo sielewi? ufafanuzi tafadhali
 
Stahimili tu, hutaki ndio hivyo hivyo unataka ndio hivyo hivyo, mmmmh
 
Back
Top Bottom