Hoja sio uchache wa watakaoswali Eid, swali la msingi ni je mwezi uliandama jana leo ni Eid mosi au mwezi utaandama leo kesho Eid mosi?
Wanachokifanya BAKWATA wakati mwengine ni kuwalisha watu kwenye mchana wa Ramadhan, wameshindwa kwenda na nyakati tulizopo sahv.
Congo mwezi wa kuanza mfungo uliandama tar 12, tar 13 mfungo ukaanza na jana mwezi umeandama leo ni Eid mosi. Na Afrika Mashariki ni moja kijiografia.
Yaani BAKWATA wameshindwa kuwa na connection ya pamoja na mamufti wote wa Afrika Mashariki?