Sheikh Mattaka: BAKWATA ndio wengi kesho misikiti zaidi ya 300 Dar itatumika kwa ajili ya swala ya Idd

Sheikh Mattaka: BAKWATA ndio wengi kesho misikiti zaidi ya 300 Dar itatumika kwa ajili ya swala ya Idd

Sometimes, the one who has the light and the one who seeks the light may share the same darkness....

Kuna nyakati mtu mwenye nuru na yule asiye na nuru wanaweza kuwa wanapita katika giza lilelile.
 
Sheikh Mattaka anasema mwandamo wa mwezi duniani kote hutangazwa na mamlaka husika na hapa Tanzania mamlaka hiyo ni Bakwata.

Mattaka anasema Mufti hutangaza mfungo au mfunguo baada ya mwezi kuonekana na kamati ya muandamo wa mwezi kujiridhisha.

Sheikh Mattaka anasema Bakwata hufuatilia pia muandamo wa mwezi kwa nchi za Zanzibar na Kenya, lakini huko pia mamlaka husika zimesema mwezi haujaandama.

Hata hivyo sheikh anasema waislamu watakaoswali Eid kesho ndio wengi na hapa Dar waumini watajaa misikiti zaidi ya 300 tofauti na hawa wanaoswalia viwanjani leo ambao hutumia viwanja viwili vitatu tu.

Source: Channel ten!

Kwa hiyo Mungu wao hawa wote wa leo na kesho anaitwa "MWEZI" siyo?

Duuuh, hii Kali. Ngoja sisi tupumzike kwa sikukuu za wanaoongozwa na MUNGU MWEZI...!

Na kwa upande mwingine, aliyeumba MWEZI akiamua kuuzuia usijitokeze mpaka mwakani maana yake hakuna sikukuu na malumbano ya wanaosubiri MWEZI yatawaka moto mkubwa zaidi...
 
Uzuri wa Uisilamu umekamilika dawa ni kusoma,maana ukimfuta mtu asiyejua au anayefanya makusudi kwa manufaa yake mwenyewe umeangamia. Uisilamu hauitaji ushabiki bali elimu
 
Hoja ya kijinga sana ..apa ndo ulipo umuhinu wa elimu hawa wava vipedo na elimu zao sa darasa la 7 wana shida sana

Kashfa siyo??

Kama hawana elimu na dini yao wee unaumia nini mkuu??

Hivi hao na wewe unaebudu yule mzungu aliebandikwa pale msalabani nani ana akili??

Really katika zama kama hizi we unaanzaje kuliabudu lile sanamu la mzungu na kuliita mungu??af tokea lin mungu akasulubiwa na wanadam mkuu,think about it
 
Hii dini ni ya kisani hadi viongozi wake..ukristo ni dini ya kweli ila viongozi ndio wasanii.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app

Ina ukweli gan sasa,kuchukua lile sanamu la kizungu na kulitundika ukutani na kuliita mungu ndiyo akili??...dini gan had mashoga wanapewa nafas ya kufungishwa ndoa Tena kanisani,teh teh teh
 
Kwa hiyo Mungu wao hawa wote wa leo na kesho anaitwa "MWEZI" siyo?

Duuuh, hii Kali. Ngoja sisi tupumzike kwa sikukuu za wanaoongozwa na MUNGU MWEZI...!

Na kwa upande mwingine, aliyeumba MWEZI akiamua kuuzuia usijitokeze mpaka mwakani maana yake hakuna sikukuu na malumbano ya wanaosubiri MWEZI yatawaka moto mkubwa zaidi...
Kwa hiyo kwa akili yako mwezi usipoonekana labda kwa sababu ya mvua na mawingu mazito waislam hawana hoja na hawatojua nini cha kufanya!?.
Tatizo mnajifanya mnajua sana na mna akili nyingi ndio maana huwa tunawaacha tu muendelee kuzama kwenye upotevu wenu.
 
Hao wanaoswali Idd leo wanaabudu mwezi unaoonekana uarabuni
Ewe ndugu hebu tuheshimiane hapa. Hakuna Muislamu anaeabudu mwezi! Waisalmu tunaabudu mola mmoja tu - Allah. Kalenda yetu inategemea kuandama kwa mwezi, kuna wanaofata kuonekana kwa mwezi duniani kokote na wale wanafata kuonekana kwa mwezi katika nchi wanazoishi pamoja na majirani zao. Kufuata mwezi ni kwa kujua tarehe tu na sio kuwa tunaabudu mwezi. Nadhani umenielewa. Ahsante sana
 
Hoja ya kijinga sana ..apa ndo ulipo umuhinu wa elimu hawa wava vipedo na elimu zao sa darasa la 7 wana shida sana
Huyu jamaa toka baada ya ile dua ya maajabu aliyoisoma na kumshirikisha yesu, waumini wengi wamekuwa hawamthamini kabisa na wala hawamsikilizi kabisa!
 
Ndugu yangu labda hujui tu. Jaribu kukaa vijiweni mwa ndugu zetu waislam....yaani wanadharauliana mno. Msikiti huu unawadharau wa msikiti huu,shekh huyu anamdharau huyu.....kuna misikiti ya watu nk.
Una point kidogo, lakini mimi sitoiita dharau ila wanakhitalifiana sana.
 
Ewe ndugu hebu tuheshimiane hapa. Hakuna Muislamu anaeabudu mwezi! Waisalmu tunaabudu mola mmoja tu - Allah. Kalenda yetu inategemea kuandama kwa mwezi, kuna wanaofata kuonekana kwa mwezi duniani kokote na wale wanafata kuonekana kwa mwezi katika nchi wanazoishi pamoja na majirani zao. Kufuata mwezi ni kwa kujua tarehe tu na sio kuwa tunaabudu mwezi. Nadhani umenielewa. Ahsante sana
We unahangaika na wagalatia wasio na akili Mkuu,utapoteza muda wako tuuh,

Belive me,mgalatia hata akiwa profesa nguli wa namna gan jua ana shida tuh kwenye thnkng capacity,unaanzaje kwa mfano kumchukua mzungu aliebandikwa msalabani na kumpigia magoti kumuabudu huku unamuita kuwa ni Mungu??,

Na Ni nan aliwahi kumuona huyo Jesus had wakakubaliana kuwa hiyo picha ni yeye,na kwamba apewe hizo sifa za uungu wanaompa
 
ma Admin wako wapi? Uzi huu kwa nini uko katika ukumbi wa siasa badala ya ukumbi wa masuali ya dini n.k.?
 
Back
Top Bottom