Sheikh Mattaka: BAKWATA ndio wengi kesho misikiti zaidi ya 300 Dar itatumika kwa ajili ya swala ya Idd

Sheikh Mattaka: BAKWATA ndio wengi kesho misikiti zaidi ya 300 Dar itatumika kwa ajili ya swala ya Idd

Hoja ni uchache wao au ni mwezi kuandama?
NAWAKUBALI SANA NDUGU ZETU WAISLAM WANAOHESABU SIKU BADALA YA KUSUBIRI KUONA MWEZI KWA MACHO YAO.

NIONAVYO BAKWATA NI CHOMBO au WING mojawapo ya Serikali, haipo kwa ajili ya maslahi waislamu.
 
Hoja ya kijinga sana. Hapa ndo ulipo umuhinu wa elimu hawa wava vipedo na elimu zao sa darasa la 7 wana shida sana.
Huyu Sheikh sio mvaa kipedo yakhee, huyu anawasemea Waislam wa BAKWATA
 
Na wakitangaza taarifa za Sikukuu kabla ya masaa 24, Nasikia wana Yanga watasusa tena.
Kwani yanga wenyewe wanasemaje......
JamiiForums380478915.jpg
 
Hahhaha. kumbe hoja ni kujaza misikiti 300. Aseee[emoji3]
 
Ndugu yangu labda hujui tu. Jaribu kukaa vijiweni mwa ndugu zetu waislam, yaani wanadharauliana mno. Msikiti huu unawadharau wa msikiti huu, shekh huyu anamdharau huyu. Kuna misikiti ya watu nk.
Hili ni kweli kabisa.
 
Inabidi waunde group la WhatsApp la balaza ya waisalm afrika mashariki.
Haina haja hata ya kuunda group la Whatsapp bali BAKWATA wanatakiwa watafute na sio kukaa kutumikishwa na wanasiasa kwenye mambo ya kisiasa na kusahau wapo kwa ajili ya kina nani na kwa kitu gani, nchi za Afrika Mashariki zipo eneo moja, hivyo kama Maraisi, vyombo vya ulinzi na usalama vina umoja, wao wanashindwa nini kuwa na umoja pia wa mambo ya kidini? Ndio maana migongano inakuja mwezi ukionekana Burundi, Tanzania hatufuati wakati ni kweli mwezi umeonekana wakati ni siku sahihi lakini usikute kwa siku hiyo labda kwa upande wa Tanzania kuwa mawingu mazito yaliyopelekea mwezi usionekane. Kwahili BAKWATA wajitathmini!
 
Ina ukweli gan sasa,kuchukua lile sanamu la kizungu na kulitundika ukutani na kuliita mungu ndiyo akili??...dini gan had mashoga wanapewa nafas ya kufungishwa ndoa Tena kanisani,teh teh teh
Mkuu achana hizi mambo za kuinanga dini ya mwenzio. Kama unaona yako imekamilika basi fuatana nayo, na kuna nyuzi kadhaa humu waislam wenzio waliwaonya wenzao kua mtume aliwaasa kuwaelekeza kwa upole wale wanaoisema vibaya dini ya kiislam.
Ni wachache wanaofanya hivyo wengi wanapayuka kama wewe hivi, kuna jamaa hapo juu licha ya kusemwa vibaya lakini kamjibu mdau kwa staha mno kiasi kwamba ukireply upuuzi utaonekana mpuuzi wa dunia.

Ila wewe kwa majibu yako haya sio mda mtaanza kutukanana matusi ya nguoni.
 
Sheikh Mattaka anasema mwandamo wa mwezi Duniani kote hutangazwa na mamlaka husika na hapa Tanzania mamlaka hiyo ni BAKWATA.

Mattaka anasema Mufti hutangaza mfungo au mfunguo baada ya mwezi kuonekana na kamati ya muandamo wa mwezi kujiridhisha.

Sheikh Mattaka, anasema BAKWATA hufuatilia pia muandamo wa mwezi kwa nchi za Zanzibar na Kenya, lakini huko pia mamlaka husika zimesema mwezi haujaandama.

Hata hivyo Sheikh anasema Waislamu watakaoswali Eid kesho ndio wengi na hapa Dar es Salaam waumini watajaa misikiti zaidi ya 300 tofauti na hawa wanaoswalia viwanjani leo ambao hutumia viwanja viwili vitatu tu.

Chanzo: Channel Ten
Huyo shekhe hajielewi , sasa analeta mashindano ndio nn sasa, hii inaonyesha ni jinsi gani huyo shekhe alivyo na uelewa Mdogo aisee
 
Ndugu yangu labda hujui tu. Jaribu kukaa vijiweni mwa ndugu zetu waislam, yaani wanadharauliana mno. Msikiti huu unawadharau wa msikiti huu, shekh huyu anamdharau huyu. Kuna misikiti ya watu nk.
Unaongopa ili iweje?
 
Sheikh Mattaka anasema mwandamo wa mwezi Duniani kote hutangazwa na mamlaka husika na hapa Tanzania mamlaka hiyo ni BAKWATA.

Mattaka anasema Mufti hutangaza mfungo au mfunguo baada ya mwezi kuonekana na kamati ya muandamo wa mwezi kujiridhisha.

Sheikh Mattaka, anasema BAKWATA hufuatilia pia muandamo wa mwezi kwa nchi za Zanzibar na Kenya, lakini huko pia mamlaka husika zimesema mwezi haujaandama.

Hata hivyo Sheikh anasema Waislamu watakaoswali Eid kesho ndio wengi na hapa Dar es Salaam waumini watajaa misikiti zaidi ya 300 tofauti na hawa wanaoswalia viwanjani leo ambao hutumia viwanja viwili vitatu tu.

Chanzo: Channel Ten

Shekh Mattaka yuko sahihi kabisa hata katika Qur'an Allah kasema sehemu nyigi sana anapoelezea neema zake na utukufu wake humalizia kwa kusema

1. LAKINI WATU WENGI HAWAJUI.
2. LAKINI WATU WENGI HAWASHUKURU
3. LAKINI WATU WENGI HAWATAFAKARI
Rejea Qur'an
SURA AYA
2 : 243
6 : 37 /111
7 : 131/187
8 : 34
10 : 60
11: 17
12 : 38/40/68
13 : 1
16 : 38
Ziko nyingi tu. Kwa hiyo kwa mujibu wa Qur'an ni wachache ndio wanaoelewa Uislam. Hivyo basi siajabu kesho wakaswali watu wengi kama anavyodai Mattaka tayari Quran imekwisha onyesha hivyo juu wa WINGI na UCHACHE katk masala ya Allah.
 
Back
Top Bottom