Sheikh Mattaka: BAKWATA ndio wengi kesho misikiti zaidi ya 300 Dar itatumika kwa ajili ya swala ya Idd

Sheikh Mattaka: BAKWATA ndio wengi kesho misikiti zaidi ya 300 Dar itatumika kwa ajili ya swala ya Idd

Mkuu achana hizi mambo za kuinanga dini ya mwenzio. Kama unaona yako imekamilika basi fuatana nayo, na kuna nyuzi kadhaa humu waislam wenzio waliwaonya wenzao kua mtume aliwaasa kuwaelekeza kwa upole wale wanaoisema vibaya dini ya kiislam.
Ni wachache wanaofanya hivyo wengi wanapayuka kama wewe hivi, kuna jamaa hapo juu licha ya kusemwa vibaya lakini kamjibu mdau kwa staha mno kiasi kwamba ukireply upuuzi utaonekana mpuuzi wa dunia.

Ila wewe kwa majibu yako haya sio mda mtaanza kutukanana matusi ya nguoni.

Sawa,Ila yule alikuja kwa kejeli,na matusi nilichofanya Mimi ni kumuonesha tuh kuwa hata wenzake analolifanya yeye wanaweza pia,sorry kwa kukukwaza
 
Sawa,Ila yule alikuja kwa kejeli,na matusi nilichofanya Mimi ni kumuonesha tuh kuwa hata wenzake analolifanya yeye wanaweza pia,sorry kwa kukukwaza
Amna hujanikwaza mkuu ila tu mi nilikua nashauri mtu akikujia kwa matusi we mjibu vizuri tu harudii.

Wanaboa sana wanaokejeli mambo bila kujua undani wake ni bora kuuliza ukapata ufafanuzi kwa wahusika.

Pamoja mkuu, nikutakie eid njema.
 
Sheikh Mattaka anasema mwandamo wa mwezi Duniani kote hutangazwa na mamlaka husika na hapa Tanzania mamlaka hiyo ni BAKWATA.

Mattaka anasema Mufti hutangaza mfungo au mfunguo baada ya mwezi kuonekana na kamati ya muandamo wa mwezi kujiridhisha.

Sheikh Mattaka, anasema BAKWATA hufuatilia pia muandamo wa mwezi kwa nchi za Zanzibar na Kenya, lakini huko pia mamlaka husika zimesema mwezi haujaandama.

Hata hivyo Sheikh anasema Waislamu watakaoswali Eid kesho ndio wengi na hapa Dar es Salaam waumini watajaa misikiti zaidi ya 300 tofauti na hawa wanaoswalia viwanjani leo ambao hutumia viwanja viwili vitatu tu.

Chanzo: Channel Ten
Tusubiri mwezi jioni uandame tuone je niwa leo leo au una mwenekano umetoka tangu jana
 
Haina haja hata ya kuunda group la Whatsapp bali BAKWATA wanatakiwa watafute na sio kukaa kutumikishwa na wanasiasa kwenye mambo ya kisiasa na kusahau wapo kwa ajili ya kina nani na kwa kitu gani, nchi za Afrika Mashariki zipo eneo moja, hivyo kama Maraisi, vyombo vya ulinzi na usalama vina umoja, wao wanashindwa nini kuwa na umoja pia wa mambo ya kidini? Ndio maana migongano inakuja mwezi ukionekana Burundi, Tanzania hatufuati wakati ni kweli mwezi umeonekana wakati ni siku sahihi lakini usikute kwa siku hiyo labda kwa upande wa Tanzania kuwa mawingu mazito yaliyopelekea mwezi usionekane. Kwahili BAKWATA wajitathmini!
Sasa sheikh hapo si ndipo kwenye kile nilichoandika but umepinga na kukubali mh!!.
 
Hoja sio uchache wa watakaoswali Eid, swali la msingi ni je mwezi uliandama jana leo ni Eid mosi au mwezi utaandama leo kesho Eid mosi?

Wanachokifanya BAKWATA wakati mwengine ni kuwalisha watu kwenye mchana wa Ramadhan, wameshindwa kwenda na nyakati tulizopo sahv.

Congo mwezi wa kuanza mfungo uliandama tar 12, tar 13 mfungo ukaanza na jana mwezi umeandama leo ni Eid mosi. Na Afrika Mashariki ni moja kijiografia.

Yaani BAKWATA wameshindwa kuwa na connection ya pamoja na mamufti wote wa Afrika Mashariki?
Kenya je? au haiko Afrika mashariki!
 
Sasa sheikh hapo si ndipo kwenye kile nilichoandika but umepinga na kukubali mh!!.
Nimesema wawe na ushirikiano, ushirikiano sio kuwa na group la whatsapp shekhe! Ushirikiano ninaomaanisha wawe wanapashana habari. Ni zaidi ya group la whatsap, jwani hata wanaweza kuanzisha forums, vikao mbali mbali pia kujadili mambo yanayowahusu waislam.
 
Mattaka amesema wanalo group la masheikh wa Afrika ndio maana Mali, Niger na Ivory coast wameswali eid jumatano, Uganda, Rwanda nk wanaswali leo na Tanzania, Kenya na Zanzibar wataswali kesho!
 
Hoja sio uchache wa watakaoswali Eid, swali la msingi ni je mwezi uliandama jana leo ni Eid mosi au mwezi utaandama leo kesho Eid mosi?

Wanachokifanya BAKWATA wakati mwengine ni kuwalisha watu kwenye mchana wa Ramadhan, wameshindwa kwenda na nyakati tulizopo sahv.

Congo mwezi wa kuanza mfungo uliandama tar 12, tar 13 mfungo ukaanza na jana mwezi umeandama leo ni Eid mosi. Na Afrika Mashariki ni moja kijiografia.

Yaani BAKWATA wameshindwa kuwa na connection ya pamoja na mamufti wote wa Afrika Mashariki?
Wewe umesoma dini?
 
Back
Top Bottom