Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Yemen na Saudia ni majirani wa mfano huo uliyoutoa lakini mwezi ukiandama Yemen Saudia haufuati.Haina haja hata ya kuunda group la Whatsapp bali BAKWATA wanatakiwa watafute na sio kukaa kutumikishwa na wanasiasa kwenye mambo ya kisiasa na kusahau wapo kwa ajili ya kina nani na kwa kitu gani, nchi za Afrika Mashariki zipo eneo moja, hivyo kama Maraisi, vyombo vya ulinzi na usalama vina umoja, wao wanashindwa nini kuwa na umoja pia wa mambo ya kidini? Ndio maana migongano inakuja mwezi ukionekana Burundi, Tanzania hatufuati wakati ni kweli mwezi umeonekana wakati ni siku sahihi lakini usikute kwa siku hiyo labda kwa upande wa Tanzania kuwa mawingu mazito yaliyopelekea mwezi usionekane. Kwahili BAKWATA wajitathmini!
Unasemaje katika hili?