Sheikh Mkubwa Pakistani awachana live Wapalestina asema Israel na Jerusalem ni kwa Wayahudi pekee according to Koran

Kuna shekhe mmoja nimemsikia akisema hata yesu alikataza dhulma.
Sasa kimoyomoyo nikajiuliza kumbe np wanamtambua yesu
 
Asome hili Agizo la Allah
[emoji116][emoji116]
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ

[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
 
Sheikh yupo sahihi kitabu hakijasema juu ya wapelestina
 
Niichokisoma hapo ni kauli kuwa:

"There should ne an israel state in the western part and a palestinian state in the eastern part"

Mleta ada hiyo two state solution unajifanya hujaiona?
Two state solution ya nini kwanini mnalazimisha kuunda taifa la wapalestine kwenye ardhi ya wayahudi
 
Haaa haaa wanamtambua kimoyo moyo
Na je, nani anayetarajiwa kurejea duniani siku kabla ya kusimama Kiyama na kurejesha haki duniani, kwa mujibu wa dini ya Kiislamu?

Ni Yesu, huo ukiwa ujio wake wa pili, na kutukuzwa kwake katika vitabu vya Kiislamu sio tu katika Koran.

Mwanafalsafa wa Kisufi Al-Ghazali anamweleza kama "nabii wa nyoyo".
 
Sheikh ubwabwa. Ili aonekane ana akili timamu, angeweka hicho kipande alichonukuu kutoka kwenye Quran
 
WAYAHUDI SI WAKRISTO NA SI WAISLAM so sioni sababu ya kuwahangaikia wapumbavu kama hao.
Kuna faida kubwa sana ndiyo maana hizi dini zinawangaikia wayahudi. Wewe itakuwa hujui lakini wenyewe wanajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…