Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au kikundi cha watu wenye nia ovu kutumia maneno ya lukuvi kisiasa na kiimani alisema sheikh.hi ni kwa mujibu wa magezeti asubuhi rfa

Wanatudhalilisha hawa jamaa sana yaani ni kama loudspeaker tu adhana sawa, kuqim twende,maulid haya,tangazo la kodi poa!!!!!!Kwani lukuvi aliongea kichina mpaka tuhangaike kutafsiri vizuri au vibaya? Hapo ndipo tunapofika njia panda. Kila mtu afate njia yake. Enzi zile zilishapita za kuimbishwa kuwa hii njia ni safi na ya lami hali ya kuwa tunapitishwa kwenye miba.
Rushwa mbaya, hata shehe?
We mzee unatafuta ubaya hvyo vijisenti vitakupa albadili bure jishaue tu, ndo mana shekhe Ponda mnagombana nae kila siku kwa kuendekeza upuuzi kama huu
Yule Sheikh wa Bakwata huyo sawa kuongea hayo maneno mwenzake Jongo alilia kabisa huyu akulia kweli.Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au kikundi cha watu wenye nia ovu kutumia maneno ya lukuvi kisiasa na kiimani alisema sheikh.hi ni kwa mujibu wa magezeti asubuhi rfa