Sheikh mkuu mkoa wa Dar aonya maneno ya Lukuvi kutafsiriwa vibaya

Sheikh mkuu mkoa wa Dar aonya maneno ya Lukuvi kutafsiriwa vibaya

Hana kitu mbulumundu huyu.Shule zinazomilikiwa na taasisi hii zinajulikana kwa kuwa kitinda mimba kwa mitihani ya taifa.
Badala ya kushughulikia namna ya kuboresha ufaulu na usimamizi wa shule hizi yeye anajifanya mkalimani wa lugha rahisi!
 
Nyie ndiyo wamoja? Mbona walokole wanalalamika hawamo kwenye tume ya katiba wakati kuna Maaskofu na Wachungaji wamejaa bungeni unaongea kama punguani vile.

Kuna Maskofu wengine mashoga mbona ujawakataza au ndiyo umoja wenu.

Uislam unatukataza kuwa wanafiki.
sasa yule Askofu Mtetemela mtu kama yule anafanya nini huko bungeni hana tofauti na kina Komba...
 
Nyie ndiyo wamoja? Mbona walokole wanalalamika hawamo kwenye tume ya katiba wakati kuna Maaskofu na Wachungaji wamejaa bungeni unaongea kama punguani vile.

Kuna Maskofu wengine mashoga mbona ujawakataza au ndiyo umoja wenu.

Uislam unatukataza kuwa wanafiki.

Achana na nyumba ya jirani mkuu yetu inavuja saaaanaa
 
Huyu mkuu wa bakwata dsm nilikuwa namheshimu sana na hata kwenye vikao vya dini tulipokuwa tunakutana naye tulijua ni miongoni mwa watu wasafi na wenye mtazamo wa kitaifa. Kwa alilofanya Jana ninaanza kuwa na wasiwasi nae
 
A way too late to configure!!!!
 
Jamani kibao kama cha Mwinyi kiko wapi? anaukana uislamu mbona? au kanunuliwa?
 
Uwa wanajifungia ofisini Bakwata wanachaguana kisha wanatangaza.

Unaonaje tukianzisha BAKWATA ASILI au tuiite BAMUTA(baraza mujahidina tanzania) hebu nipe jina na wewe. Chapu
 
Hapa ndio ananifanya nimkumbuke sana marehem sheikhe Ilunga aliposema BAKWATA ni tawi la kanisa.Kimbisa unauza utu wako na dini yako kwa thamani ndogo sana uliyopewa na lukuvi jiandae na ADHABU KALI YA ALLAH hutaiepuka na wala huwez kuimili.
 
Aisee kama huyu ndie kiongozi wa dini kweli tanzania inasafari ndefu sana ,huu ni msiba kwa taifa kwa maana nyingine anamuunga mkono lukuvi.
 
Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au kikundi cha watu wenye nia ovu kutumia maneno ya lukuvi kisiasa na kiimani alisema sheikh.hi ni kwa mujibu wa magezeti asubuhi rfa

Wakati namsikia huyu shekhe jana kwenye tarifa ya habari itv nilijiuliza nin kimempata. Haiwezekan kiongozi anatoa maneno ya ajabu tena ya uchochez na kuligawa taifa then we kiongozi wa dini unamsifia na kumpongeza badala ya kumkemea.
 
Unaonaje tukianzisha BAKWATA ASILI au tuiite BAMUTA(baraza mujahidina tanzania) hebu nipe jina na wewe. Chapu
Nakushauri ungeanzisha chama cha mashoga pelekeni jina serikalini mtasajiriliwa.
 
mm naona anajaribu kupoza hasira za waislamu
 
Nilikuwa nasikia waislam wanalalamika kuwa bakwata inatumika kwa manufaa ya serikali nilikuwa siamini!!nilichosikia jana toka kwa huyo jamaa nilishangaa!!
Suala la lukuvi lipo wazi hatari zaidi aliongelea kanisani,mambo ya siasa aliyodai yalitokea wapi?kwanini asingesema waislam wasitumike kidini,alichokuwa anaongea jana ni wazi anatumika na serikali,hata uso wake ulikuwa umejaa aibu kubwa wakati anatetea ujinga,binafsi mimi ni mkiristo lakini kauli ile ya lukuvi ni ya hovyo na hatarishi kwa umoja wa kitaifa!!mgogoro wa dini ni balaa!!
 
anauza uislam wake kwa thamani ndogo ya dunia....hana msimamo mi nnavyojua masheikh wengi wa bakwata ni wasanii pamoja na lion
 
Back
Top Bottom