OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Hatutawashinda maadui wa Islam kwa kuendekeza unafki. Huyo shekhe ni mfano wa wengi tu humu jf.
Unalalama tu na labelling huna suluhisho ni kama ushajikatia tamaaa!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutawashinda maadui wa Islam kwa kuendekeza unafki. Huyo shekhe ni mfano wa wengi tu humu jf.
Unalalama tu na labelling huna suluhisho ni kama ushajikatia tamaaa!!!!
Nyie ndiyo wamoja? Mbona walokole wanalalamika hawamo kwenye tume ya katiba wakati kuna Maaskofu na Wachungaji wamejaa bungeni unaongea kama punguani vile.
Kuna Maskofu wengine mashoga mbona ujawakataza au ndiyo umoja wenu.
Uislam unatukataza kuwa wanafiki.
Hujielewi bado!!!!!!
CCM hawafungi mtu pingu kumlazimisha aseme au kufanya watakayo!!!!
Tatizo ni kuweka mstari kati ya dunia na akhera na hii mbinu imetumika kuwa discourage wasomi kuingia harakati za dini so waliobaki huko kwenue dini wengi ni maaamuma wa kidunia kama huyu wanaburuzwa tu!!!!
Waliosoma sides zote ni wakati sasa kushika uongozi
Unaujua uislamu au unajipendekeza tu,uislamu hautambui CCM,CHADEMA,CUF wala ACT huyo sio sheikh ni shehena.
Moja ni kuchukua muda na kufikiri kuwa chanzo cha hizi shida ni kukosa uelewa mzuri wa dunia inavyoenda kwa baadhi kama sio wote viongozi????!!!!(Nakubali kurekebishwa kwa hoja)We unaejielew umechukua hatua gani kuhakikisha hao maamuma hawaburuzwi? hao pamoja na ujinga wao ni ndugu zetu ktk uislam
Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au kikundi cha watu wenye nia ovu kutumia maneno ya lukuvi kisiasa na kiimani alisema sheikh.hi ni kwa mujibu wa magezeti asubuhi rfa
Hahaahaa kama kijana ndiyo nikubaliane nae.
Ni kuwaambia ukweli kila ninapokutana nao kuwa kujua sana Qur'an sio kigezo pekee cha mtu kiwa kiongozi wa taasisi ya dini
Utakutana na wangapi na kuwaambia ukweli? Hivi haya matamko ambayo hayajali maslahi ya uislam yameanza lini? mashekhe wangapi wamepita kabla ya huyu wa sasa na waliweka maslahi ya uislam nyuma? je tatizo ni mashekhe na ujinga wao au tatizo ni nguvu ya ushawishi inayotokana na mfumo flani?
Cheche moja huchoma msitu!!!!!
Wewe kama unakubali kuna shida nawe strategize on eradication! !!!!
Unaona kama leo yeye mjuaji wa dunia kaleta hili hadharani sasa kama wote tunalalama.mwisho unakuwa nini??!!!
Lakini kama wewe una jinsi na wengine wakichangia mawazo then tunaanza kuondoa kadhia hii taratibu!!!!!
Haijalishi umetembea umbali gani ila kufuata njia sahihi ndio kutakufikisha uendako!!!
Yaliyopita yamepita na tumejifunza sana sasa ni kupanga mabadiliko kabla historia haijatujumuisha
Hao masheikh ubwabwa tu hawana mpya.
Thanks mkuu, inasikitisha kuona mtu anaweka maslahi yake mbele kuliko kutetea Uislam.
Huyu sheikh wa mkoa ni shehe Jongo? Naomba kufahamishwa.kama ni yeye ujue kesha kula mlungula huyo
Yaani huyu Sheikh wa mkoa hapo hamna mtu kabisa,huyo kama kijiti kimevishwa kanzu na kofia ila mtu hukuna.......hii ndio kazi ya bakwata.