Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushauri ungeanzisha chama cha mashoga pelekeni jina serikalini mtasajiriliwa.
Usikejeli dini na ya wenzako kwa chuki zako watu wakikijibu uwanja utachafuka.
Na huyu Shekhe Mkuu wa Mkoa akitangaziwa fatwa sitamuonea huruma, sijui kwanini kuna watu wananunulika kirahisi na kuikana imani yao huku wakiwakwaza wengine.
Mimi ni muislam, huwa hainiingii akilini ndugu zangu waislam tunapodai kuna mfumo kristo ulioasisiwa na NYerere na CCM, then tunaendelea kuipenda, kuitetea na kuichagua CCM. Huo ni unafki wa hali ya juu. Shekhe mnafiki na sisi waislam wanafki. At least baadhi yetu tulishajua adui namba moja wa Islam na waislam ni CCM. Tuamke waislam

Unaujua uislamu au unajipendekeza tu,uislamu hautambui CCM,CHADEMA,CUF wala ACT huyo sio sheikh ni shehena.
sasa yule Askofu Mtetemela mtu kama yule anafanya nini huko bungeni hana tofauti na kina Komba...
Hapa ndipo namkumbuka sana Sheikh Ponda.
Mkuu mbavu sina,hao ni wasanii per se zamani tukiwaita caricaturesYule Sheikh wa Bakwata huyo sawa kuongea hayo maneno mwenzake Jongo alilia kabisa huyu akulia kweli.
Unaujua uislamu au unajipendekeza tu,uislamu hautambui CCM,CHADEMA,CUF wala ACT huyo sio sheikh ni shehena.
HUO SIO UMOJA WETU NI UMOJA WA ALLAH NA MUHAMMADKuna Maskofu wengine mashoga mbona ujawakataza au ndiyo umoja wenu.
Uislam unatukataza kuwa wanafiki.
Kwahiyo mfumo kristo umejileta wenyewe? Tuache unafki.