President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Na kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wakeMatamko ni mengi mpaka tunachanganyikiwa😀
Wale Mashekhe na BAKWATA wamepanga kuchoma makanisa. Msipuuze.Na kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake
Acha kuzua taharuki huo uwezo hawana na wanajua hawanaWale Mashekhe na BAKWATA wamepanga kuchoma makanisa. Msipuuze.
Na wala hawatashughulikiwa na vyombo vya usalama, maana wamezibariki kauli zaoWale Mashekhe na BAKWATA wamepanga kuchoma makanisa. Msipuuze.
Msipuuze.Acha kuzua taharuki huo uwezo hawana na wanajua hawana
Msipuuze.Na wala hawatashughulikiwa na vyombo vya usalama, maana wamezibariki kauli zao
Tunakupuuza acha kuzua tahatukiMsipuuze.
Wachome tu yatajengwa mengineMsipuuze.
OB = Organization BehaviorMatamko ni mengi mpaka tunachanganyikiwa😀
Amani italetwa kwa ncha ya upanga sio qunuti zilizojaa unafki.AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA
"Assalaam alaikum.
Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala. Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee kusimamia Amani na Utulivu wa Nchi kwetu."
Muft na Sheikh mkuu watanzania
Sheikh Abubakari Zuber bun Ally mbwana
Hiyo qunuti inakujaAmani italetwa kwa ncha ya upanga sio qunuti zilizojaa unafki.
Hizo qunuti waswali wao bakwata na CCM wao sisi huku tunahitaji katiba mpya na uchaguzi mpya ulio huru na wa haki.
Wakifeli hapo amani haiwezi kuwepo.
Msipuuze.Wachome tu yatajengwa mengine