PostGE2025 Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania - Abubakar Zuber bin Ally aagiza Dua ya Qunuti kusomwa baada ya kila Sala

PostGE2025 Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania - Abubakar Zuber bin Ally aagiza Dua ya Qunuti kusomwa baada ya kila Sala

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Masheikh acheni kuichafua dini yetu tafadhalini sana.Haya yote yanatokea kwa sababu haki hakuna viongozi waache kibri na wawe na aibu. Je ni kweli mwislamu mwenzetu kashinda kwa 97.66%? Je wewe mwislam mwenzangu ulipiga kura? Tuanzie hapo kwanza
 
Upuz tu

Ova
 
Mshindi wa Tuzo ya Nobel Martti Ahtisaari, ya Upatanishi / Maridhiano aoanisha vigezo vya pande mbili kuweza kufika katika meza ya mazungumzo

View: https://m.youtube.com/watch?v=-R9wFryp3CU
  1. mdhulumaji kukubali amedhulumu upande anaotaka kufanya naye mazungumzo
  2. Mdhulumu awe msikivu kusikiliza maovu aliyoyatenda kwa wadhulumiwa
  3. Kusikuwepo na jeuri kuwa mimi ni mtawala, hivyo pande mbili za mdhulumaji na mdhulumiwa wajisikie wana hadhi sawa ktk mazungumzo
  4. Mdhulumaji asiwe anachenga au kukwepesha madhila aliyowasababishia wahanga wa uovu wake
  5. Heshima ioneshwe na kujutia matendo ya dhuluma yaliyotendeka

18 November 2025
Sheikh Ponda akubaliana na Martti Ahtisaari jinsi ya kuifikia meza ya majadiliano, mambo muhimu kwanza yawekwe bayana. Bila maovu ya wadhulumati kuwekwa wazi, kuwajibishwa wauaji basi haiwezekani sisi kujijongeza kuikabili meza ya majadiliano

View: https://m.youtube.com/watch?v=eWBx1s512m4
 
AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA

"Assalaam alaikum.

Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala. Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee kusimamia Amani na Utulivu wa Nchi kwetu."

Muft na Sheikh mkuu watanzania
Sheikh Abubakari Zuber bun Ally mbwana
Ina maana Mungu haoni kilichotokea mpaka aombwe?
 
AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA

"Assalaam alaikum.

Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala. Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee kusimamia Amani na Utulivu wa Nchi kwetu."

Muft na Sheikh mkuu watanzania
Sheikh Abubakari Zuber bun Ally mbwana
Eeh
 
Attachments

  • 807385ecbacd02a24b52b03c5c696267.mp4
    7.2 MB
Hivi huyu Mufti wa Tanzania anapatikanaje??
 
Attachments

  • 2c1ae892bb1472a686c725f2c0bc4652.mp4
    17.7 MB
Acha kuzua taharuki huo uwezo hawana na wanajua hawana
VITA VYA KIDINI NI LAZIMA VITATOKEA TANZANIA KAMA SAMIA ATABAKI MADARAKANI HADI 2027 .....KWA UGENIUS WANGU NAVIONA VITA KAMILI VITAKAVYO ANZISHWA NA WAISLAMU HATA SASA WANAVIPIGA NYUMA YA KAPETI ...TAYARI WANAMWAGA DAMU KIMYA KIMYA ....SABABU ZA VITA VYA KIDINI NI KWAMBA SAMIA ANAJARIBU KUWATUMIA WAISLAMU KUBADILI MAUAJI ANAYO FANYA KWA WATANGANYIKA KUWA YA KIDINI AKIAMINI HIYO ITAMUOKOA KUFICHA MAUAJI ALIYO YAFANYA KIMATAIFA .....NINAO UWEZO WA KUVIELEZEA HIVYO VITA VITAKUWAJE NA HATIMA YAKE NI NINI ...MWISHO WAKE KWA WAISLAMU NA WAKRISTO ......
 
Hizo Qunuti zingeelekezwa kwenye shule zao za BAKWATA na shule za kata zinngesaidia kupunguza 'divisions zero & four'.
Maana kidato cha nne wapo kwenye mitihani kipindi hiki.
 
AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA

"Assalaam alaikum.

Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala. Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee kusimamia Amani na Utulivu wa Nchi kwetu."

Muft na Sheikh mkuu watanzania
Sheikh Abubakari Zuber bun Ally mbwana
Hv huyu jamaa, ana hata, ka diploma kutoka vyuo vinlavyofahwmika na serikali? Au ndio, CV yake ni wake wanna, na, quruan
 
AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA

"Assalaam alaikum.

Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala. Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee kusimamia Amani na Utulivu wa Nchi kwetu."

Muft na Sheikh mkuu watanzania
Sheikh Abubakari Zuber bun Ally mbwana
Haya ndo walipaswa wawe viongozi wa juu
Maana wanaonyesha Kwa vitendo dini ya haki

Wale Mashekhe na BAKWATA wamepanga kuchoma makanisa. Msipuuze.
Yaani Kuna nini hapo ikulu hata mtu ang'ang'anie kubaki hapo hata wananchi wote wakifa ili mradi abakie hapo. Nahisi Kuna kitu zaidi ya urais
 
Back
Top Bottom