PostGE2025 Jicho la tatu: Watanzania tuingie katika maridhiano kama Serikali ya Samia inavyotaka

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Una hofu ya kushindwa kwenye maridhiano? Mbona tuna hoja nyingi sana za kuishinda ccm. TUINGIE KWENYE MAZUNGUMZO ILI TUISHINDE CCM KWENYE MARIDHIANO na tutume ujumbe kwenye hiyo jumuhia
Kama zilivyoingia kwenye uchaguzi ACT na CHAUMMA? zikamshinda CCM na zikatuma ujumbe (gani?)

Hizi manipulation hazifanyi kazi karne hii.
 
Maridhiano hayo unaonaje wewe ndio uingie na uwaache waliokataa?

Kama unataka kuona faida za maridhiano tembelea familia ya Ben Saanane, Azory Gwanda, Dioniz Kipanya, Deusdedith Soka,Chaula ,Ali Kibao Humphrey Polepole , Sativa , Mdude Nyagali na wengine kawaambie hizi habari halafu ndio urudi hapa.

Lugha ninayoona mtaisikia na kuomba maridhiano ya kweli ni kisasi tu sio vinginevyo , wakianza kuuliwa watoto wa viongozi na viongozi ndio mtajua maridhiano wanayokataa watu wanakataa kwanini.
20250930_021824.jpg
 
Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi

Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake?

Jumuia ya Madola sio taasisi ndogo na inaweza ikaenda kwenye taasisi kubwa nyingine duniani na kuwaambia kuwa tatizo la Tanzania sio serikali bali ni vyama vya kisiasa, watasema serikali ilikubali kukaa chini na kuzungumza ili kuyamaliza lakini watanzania ndio hawataki na sisi wananchi tukakosa sapoti ya hizo taasisi

Mimi sioni haja ya kuogopa mazungumzo. Si wamemwita muwakilishi kutoka jumuhia ya madola? Tuingie kwenye mazungumzo ili huyo mwakilishi ashindwe yeye. Mimi ninaamini wananchi na vyama vya upinzani tuna hoja bora na za nguvu sana za kuishinda CCM na huyo mwakilishi wao.

Tukwepe huo mtego, tuingie kwenye majadiliano ili washindwe wenyewe na hizo jumuhia zitafahamu wapi kwenye matatizo
Akili za kuchambia chooni hizi,kawashauri wazanzibar waridhiane na Samia sio watanganyika.
 
Tuheshimu roho za watu wamekufa wengi sana jamani

Kuna maridhiano na marehemu?
NEVER
Hawa wauaji na huyu bi chura wanatakiwa kulipa damu kwa damu
9dec loading..
 
Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi

Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake?

Jumuia ya Madola sio taasisi ndogo na inaweza ikaenda kwenye taasisi kubwa nyingine duniani na kuwaambia kuwa tatizo la Tanzania sio serikali bali ni vyama vya kisiasa, watasema serikali ilikubali kukaa chini na kuzungumza ili kuyamaliza lakini watanzania ndio hawataki na sisi wananchi tukakosa sapoti ya hizo taasisi

Mimi sioni haja ya kuogopa mazungumzo. Si wamemwita muwakilishi kutoka jumuhia ya madola? Tuingie kwenye mazungumzo ili huyo mwakilishi ashindwe yeye. Mimi ninaamini wananchi na vyama vya upinzani tuna hoja bora na za nguvu sana za kuishinda CCM na huyo mwakilishi wao.

Tukwepe huo mtego, tuingie kwenye majadiliano ili washindwe wenyewe na hizo jumuhia zitafahamu wapi kwenye matatizo
Hapa umetumia jicho gani kufikiri
? kwa sababu huwezi kuridhiana na wauaji.acha kufikiri kwa hilo jicho tumia akili.huwezi kuingia kwenye maridhiano na mtu aliyetuulia watoto wetu zaidi ya 10000.
 
Maridhiano ya Nyoko walidhiane na nani?
Nani kasema anataka maridhiano?
Maridhiano kuhusu nini?
Kama wanataka kurudisha uhai wa Marehemu walio tuulia hapo sawa nje ya hapo watutolee Usenger wao hapa Qumaniner!

Damu zilizomwagika lazima zilipwe kwanza!
 
Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi

Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake?

Jumuia ya Madola sio taasisi ndogo na inaweza ikaenda kwenye taasisi kubwa nyingine duniani na kuwaambia kuwa tatizo la Tanzania sio serikali bali ni vyama vya kisiasa, watasema serikali ilikubali kukaa chini na kuzungumza ili kuyamaliza lakini watanzania ndio hawataki na sisi wananchi tukakosa sapoti ya hizo taasisi

Mimi sioni haja ya kuogopa mazungumzo. Si wamemwita muwakilishi kutoka jumuhia ya madola? Tuingie kwenye mazungumzo ili huyo mwakilishi ashindwe yeye. Mimi ninaamini wananchi na vyama vya upinzani tuna hoja bora na za nguvu sana za kuishinda CCM na huyo mwakilishi wao.

Tukwepe huo mtego, tuingie kwenye majadiliano ili washindwe wenyewe na hizo jumuhia zitafahamu wapi kwenye matatizo
Akili kama hizi zinapatikana misikitini tu kwa ajili ya kuchambia kabla ya kuinua vijambio juu na kuvishusha chini😁😁😁
 
Mimi sioni haja ya kuogopa mazungumzo. Si wamemwita muwakilishi kutoka jumuhia ya madola? Tuingie kwenye mazungumzo ili huyo mwakilishi ashindwe yeye. Mimi ninaamini wananchi na vyama vya upinzani tuna hoja bora na za nguvu sana za kuishinda CCM na huyo mwakilishi wao.

10 Desemba 2008
Helsinki, Finland

Martti Ahtisaari juu ya: Nani ni mpatanishi mzuri?

View: https://m.youtube.com/watch?v=Zsb9SFHEvus
Rais Martti Ahtisaari, mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa mwaka wa 2008, anajadili Upatanishi wa Amani wa Kimataifa katika video clip hizi tatu fupi.

Kamati ya Nobel ya Norway ilimtunuku Bw. Ahtisaari kwa jukumu lake kama mpatanishi bora wa kimataifa wa amani.

Kupitia juhudi zake za mara kwa mara na kujitolea kwake binafsi, Bw. Ahtisaari ameonyesha jinsi upatanishi unavyoweza kuwa muhimu kwa utatuzi wa migogoro ya kimataifa.

Katika mfululizo huu mfupi wa filamu, Martti Ahtisaari anaangazia: sifa za mpatanishi mzuri na 'brand' Ahtisaari; mazungumzo tofauti na matukio ya upatanishi na hatimaye kutetea jukumu kubwa la Umoja wa Ulaya kama mpatanishi wa amani wa kimataifa

President Martti Ahtisaari, Nobel Peace Prize laureate for 2008, discusses International Peace Mediation in these three short films.

The Norwegian Nobel Committee awarded Mr. Ahtisaari for his role as an outstanding international peace mediator.

Through his constant efforts and personal commitment, Mr. Ahtisaari has demonstrated how important mediation can be for the resolution of international conflicts.

In this short series of films, Martti Ahtisaari highlights: the qualities of a good mediator and the brand Ahtisaari; different negotiations and mediation scenarios and finally advocates for a stronger role of the European Union as an international peace mediator.
 
Kwamba Commonwealth hawangalii sababu za kupeleke mgomo hizi ni akili kweli?
 
Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi

Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake?

Jumuia ya Madola sio taasisi ndogo na inaweza ikaenda kwenye taasisi kubwa nyingine duniani na kuwaambia kuwa tatizo la Tanzania sio serikali bali ni vyama vya kisiasa, watasema serikali ilikubali kukaa chini na kuzungumza ili kuyamaliza lakini watanzania ndio hawataki na sisi wananchi tukakosa sapoti ya hizo taasisi

Mimi sioni haja ya kuogopa mazungumzo. Si wamemwita muwakilishi kutoka jumuhia ya madola? Tuingie kwenye mazungumzo ili huyo mwakilishi ashindwe yeye. Mimi ninaamini wananchi na vyama vya upinzani tuna hoja bora na za nguvu sana za kuishinda CCM na huyo mwakilishi wao.

Tukwepe huo mtego, tuingie kwenye majadiliano ili washindwe wenyewe na hizo jumuhia zitafahamu wapi kwenye matatizo
Waliouawa watawakilishwa na nani?
 
Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake?
Anayemkaribisha rais mstaafu Chakwera yaani Samia Suluhu Hassan ni mkweli katika nafsi yake kuwa yeye ndiyo chanzo cha matatizo au anaona wadau wengine ndiyo chanzo?

Je Samia Hassan ni mwaminifu katika historia yake kukubali mapendekezo ya Tume mbalimbali alizoziunda na historia ina sapoti hilo au inasema hupuuza maoni ya Tume alizounda ?

Uchafuzi wa chaguzi wa TAMISEMI 2024 na huu wa 2025 tuna tiki mhusika ni nani

Uvunjifu wa demokrasia ndani ya vikao vya CCM ili kujiteua kuwa mgombea pekee nani ni mhusika mkuu?

Maswali ni mengi kwa mtawala Samia Suluhu Hassan juu ya uungwana wake wa kutekeleza na kutenda haki iwe ya kuishi, kushtakiwa katika Mahakama huru, DPP huru , AG Mwanasheria Mkuu huru, bunge huru, mfumo mzima wa haki jinai huru n.k
 
Hii ya maridhiano ni kama no Reforms no Election maridhiano watu wanachotaka maridhiano yawe ya ukweli sio ya Utapeli mimi nilitaka maridhiano yatambulike kikatiba watu wanaenda kuridhiana nini katiba itambue ila lakini hizi blaa blaa mbeleni shimo kubwa kwa nini tunataka kujidanganya na matatizo yaliyotokea tofauti na hapo watu watakua wanaua wanateka wanafanya ufisadi wanajiachagua wanaingi madarakani then wanaomba Maridhiano
 
Mshindi wa Tuzo ya Nobel Martti Ahtisaari, ya Upatanishi / Maridhiano aoanisha vigezo vya pande mbili kuweza kufika katika meza ya mazungumzo

View: https://m.youtube.com/watch?v=-R9wFryp3CU
  1. mdhulumaji kukubali amedhulumu upande anaotaka kufanya naye mazungumzo
  2. Mdhulumu awe msikivu kusikiliza maovu aliyoyatenda kwa wadhulumiwa
  3. Kusikuwepo na jeuri kuwa mimi ni mtawala, hivyo pande mbili za mdhulumaji na mdhulumiwa wajisikie wana hadhi sawa ktk mazungumzo
  4. Mdhulumaji asiwe anachenga au kukwepesha madhila aliyowasababishia wahanga wa uovu wake
  5. Heshima ioneshwe na kujutia matendo ya dhuluma yaliyotendeka
 
Utaridhiana nini na muuaji? Utaenda kumwomba kuwa asiendelee kuwaua ninyi mliosalia baada ya kuwaua maelfu?

Jamii ya kimataifa kama inataka kuwasaidia wananchi wanaoishi kwenye dhuluma na udikteta wa ajabu, ni kumlazimisha Samuya, apende asipende, lazima timu ya uchunguzi ya ICC aliyoizuia iingie nchini. Tena ikiwezekana iwepo timu ya uchunguzi ya ICC, timu ya uchunguzi ya mahakama ya Afrika, Timu ya uchunguzi ya UN, AU, SADC na EU. Baada ya hapo hawa watawala na vibaraka wao waliowaua watanganyika, wakamatwe, washtakiwe na wahulumiwe. Baada ya wao kukamatwa, ndiyo watanzania waanze mazungumzo ya kuunda katiba moya itakayobeba miongozo yote, likiwemo suala la tume huru ya uchaguzi, kutangaza kuwa kinga ya Rais na wakuu wengine wa Serikali, bunge na mahakama kutoshtakiwa ni null and void kwa sababu inakiuka katiba inayotamka wazi kuwa watu wote ni sawa mbele ya sheria. Likishafanyika hilo, yafunguliwe mashtaka pia nchini dhidi ya wahusika wote waliokuwa wanalindwa na sheria bandia inayoitwa kinga ya Rais kutoshtakiwa. Wauaji wakiwa jela, ndiyo ufanyike uchaguzi huru, tena ule wa kiwango kama kile cha uchaguzi wa CHADEMA, kura zinahesabiwa hadharani.
 
Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi

Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake?

Jumuia ya Madola sio taasisi ndogo na inaweza ikaenda kwenye taasisi kubwa nyingine duniani na kuwaambia kuwa tatizo la Tanzania sio serikali bali ni vyama vya kisiasa, watasema serikali ilikubali kukaa chini na kuzungumza ili kuyamaliza lakini watanzania ndio hawataki na sisi wananchi tukakosa sapoti ya hizo taasisi

Mimi sioni haja ya kuogopa mazungumzo. Si wamemwita muwakilishi kutoka jumuhia ya madola? Tuingie kwenye mazungumzo ili huyo mwakilishi ashindwe yeye. Mimi ninaamini wananchi na vyama vya upinzani tuna hoja bora na za nguvu sana za kuishinda CCM na huyo mwakilishi wao.

Tukwepe huo mtego, tuingie kwenye majadiliano ili washindwe wenyewe na hizo jumuhia zitafahamu wapi kwenye matatizo
Kama anataka maridhiano ya kweli atuachie nchi yetu ya Tanganyika. Kama ana hamu sana ya urais, akatawale huko kwao Kizimkazi. Huku kwetu hatumtaki. Na akiendelea kulazimisha, basi ajiandae kuondolewa kwa nguvu yeye na genge lake.
 
Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi

Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake?

Jumuia ya Madola sio taasisi ndogo na inaweza ikaenda kwenye taasisi kubwa nyingine duniani na kuwaambia kuwa tatizo la Tanzania sio serikali bali ni vyama vya kisiasa, watasema serikali ilikubali kukaa chini na kuzungumza ili kuyamaliza lakini watanzania ndio hawataki na sisi wananchi tukakosa sapoti ya hizo taasisi

Mimi sioni haja ya kuogopa mazungumzo. Si wamemwita muwakilishi kutoka jumuhia ya madola? Tuingie kwenye mazungumzo ili huyo mwakilishi ashindwe yeye. Mimi ninaamini wananchi na vyama vya upinzani tuna hoja bora na za nguvu sana za kuishinda CCM na huyo mwakilishi wao.

Tukwepe huo mtego, tuingie kwenye majadiliano ili washindwe wenyewe na hizo jumuhia zitafahamu wapi kwenye matatizo
Una akili ndogo sana ndugu bila shaka ni Mzanzibari na ni ukoo wa Samia🚮🚮🚮🚮
 
Mshindi wa Tuzo ya Nobel Martti Ahtisaari, ya Upatanishi / Maridhiano aoanisha vigezo vya pande mbili kuweza kufika katika meza ya mazungumzo

View: https://m.youtube.com/watch?v=-R9wFryp3CU
  1. mdhulumaji kukubali amedhulumu upande anaotaka kufanya naye mazungumzo
  2. Mdhulumu awe msikivu kusikiliza maovu aliyoyatenda kwa wadhulumiwa
  3. Kusikuwepo na jeuri kuwa mimi ni mtawala, hivyo pande mbili za mdhulumaji na mdhulumiwa wajisikie wana hadhi sawa ktk mazungumzo
  4. Mdhulumaji asiwe anachenga au kukwepesha madhila aliyowasababishia wahanga wa uovu wake
  5. Heshima ioneshwe na kujutia matendo ya dhuluma yaliyotendeka

18 November 2025
Sheikh Ponda akubaliana na Martti Ahtisaari jinsi ya kuifikia meza ya majadiliano, mambo muhimu kwanza yawekwe bayana. Bila maovu ya wadhulumati kuwekwa wazi, kuwajibishwa wauaji basi haiwezekani sisi kujijongeza kuikabili meza ya majadiliano

View: https://m.youtube.com/watch?v=eWBx1s512m4
 
Back
Top Bottom