tungatagaga
JF-Expert Member
- Aug 18, 2024
- 686
- 928
Adamu alikuwa mtawala wa kwanza kuitawala dunia;lakini Mungu aliyemuumba akamkataza asile matunda ya mti wa katikati kwa sababu alimpenda hakutaka afe.Adamu akala na kufa.Kosa la Mola ni lipi jameni je Adamu hakuonywa?.Kwanini tunampigia kelele kwa mambo ambayo yamo katika uwezo wetu?