Tayeb
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 434
- 464
Mkuu Tayeb, nakuamkua nduu langu,
Assalaamu alaykum warahmatullaah wabarakaatuh,
Nalikuwa nkipita nkaona maneno yako yalo nona bashasha,
Kweli alozoeya Punda katu hapandi Farasi.
Hawakudhani kama itawadhihirikia moya siku katika bayana alozieka alhabeeb gwiji la Historia Mohamed Said.
Watu wana vifaa vya kutosha na hakika ziso nakiswa, hawajifaha vipi watamfahamu...!?
Ntarejea.
Waleyku Msalaam Alhabib Wabara,
Wallahi maneno yako yanawachoma sana hawa waabudu masanamu/picha ya yule Mzungu mcheza sinema.
Maneno mengi yashasemwa na Mzee wetu, na ndio hayo hayo hii leo yanarejewa na huyo Tundu Lisu kutoka kwenye Vitabu vingi mno aloandika Mohamed Said
Last edited by a moderator: