Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.

===
Sheikh Mwaipopo amesema Shivji hajawahi kusapoti jambo lolote la serikali tangu enzi za Mwalimu, yeye kazi yake ni kulaani na kukosoa tu.

Amesema kwa mujibu wa waziri Mkuu ni kuwa, TICTS ilikuwa inaipa Tanzania trilioni 7 kwa mwaka ambapo DPW italipa trilioni 20.

Amesema Rais ampuuze Shivji
 
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu ,kazi Yao ni kupinga Kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
Kwa nini unashabikia wanao washambulia watu wanaopinga IGA badala ya kujadili hoja zao? Au ndio UCHAWA wa kiwango cha PhD?

AIBU
 
Mdhalilishe.Shivji ana kipi Cha maana Kwa umri wake amewahi changia Tanzania?
Wewe umechangia nini?,freedom of speech ipo wapi?,hayo ni maoni yake na huna mamlaka ya kuyapiga Nyundo, hoja ijibiwe na hoja iliyo bora sio vitisho, kama hukubaliani na hoja ya professor, njoo na hoja iliyo bora zaidi
 
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu ,kazi Yao ni kupinga Kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
Sasa kama hujui Mchango wa Prof Shivji kwenye hii nchi unajua Nini? Achana na vitu usivyovijua
 
Mdhalilishe.Shivji ana kipi Cha maana Kwa umri wake amewahi changia Tanzania?
Ww unaamini mchango wa mtanzania ni lazima awe rais, au waziri ndio unajua katoa mchango kwa nchi. Kwa taarifa yako mchango namba moja kwa nchi ni kulipa kodi. Na hakuna mtanzania asiyelipa kodi, iwe direct au indirect. Kama Shivji halipi kodi hapo ndio unaweza kusema hana mchango kwa nchi hii.
 
Back
Top Bottom