Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu ,kazi Yao ni kupinga Kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.

Naona Shekhe baada ya kuchafua hali ya hewa huko twitter umeona umalizie huku JF
 
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu ,kazi Yao ni kupinga Kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.

Ni maajabu ya Dunia. Yaani mtu kama wewe ambaye una IQ ya chini kabisa, siyo kwamba huna mchango, bali ni hasara tupu, halafu unaamini unamzidi gwiji wa sheria prof. Shivji!!!
 
Binafsi ningependa kufahamu elimu ya huyo sheikh, ana elimu gani?

Kuhusiana na mambo ya mikataba, ili uweze japo kuingia chumba alicho Prof. Shivji na kuanza kuhojiana nae inakupasa angalau uwe na shahada ya kwanza ya sheria.

Vinginevyo huyu Bwana Mwaipopo atafute watu wa hadhi yake ajadiliane nao.

Tusiruhusu watu wenye akili ndogo wapanue midomo yao kiasi cha kufanya watu wenye akili kubwa wasisikike, tutaliua taifa.
 
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu ,kazi Yao ni kupinga Kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.

Amempa onyo kama nani? Huyu Shekhe amesoma na kuelimika? Unamkatazaje mtu kutoa magnificent yake? Yeye yuko juu ya katiba labda!
 
Wewe tueleze.nini.mchango wake
Prof. Shivji ni kati ya maprof. wachache waliodumu kwa muda mrefu UDSM, akiwapa watu mbalimbali maarifa ya sheria. Na hawa watu wametapakaa nchi nzima, kwenye taasisi nyingi, mpaka ndani ya Serikali.

Huwezi kusikia msomi yeyote akitoa kashfa dhidi ya prof. Shivji. Lakini wajinga wasiojielewa na waliofubaa akili na maarifa utawasikia wakisema eti Shivji hana mchango kwa Taifa.

Hakuna mchango muhimu na mkubwa hapa duniani kama kuwapa watu elimu na maarifa ili wayamudu mazingira yao.
 
Huyo profesa wako biashara kaifanya wapi?

Huyi kazi yake ilikuwa kujaza watu ujinga tu.

Ikiwa wanafunzi wake ndiyo kama wewe? Khaa!
Wewe biashara unafanya wapi? Kama ni muajiriwa wa taasisi yoyote ya umma, basi sio mfanyabiashara.
 
Binafsi ningependa kufahamu elimu ya huyo sheikh, ana elimu gani?

Kuhusiana na mambo ya mikataba, ili uweze japo kuingia chumba alicho Prof. Shivji na kuanza kuhojiana nae inakupasa angalau uwe na shahada ya kwanza ya sheria.

Vinginevyo huyu Bwana Mwaipopo atafute watu wa hadhi yake ajadiliane nao.

Tusiruhusu watu wenye akili ndogo wapanue midomo yao kiasi cha kufanya watu wenye akili kubwa wasisikike, tutaliua taifa.
Ana elimu ya kubwabwaja kama ile ya sheikh kipozeo.
 
Binafsi ningependa kufahamu elimu ya huyo sheikh, ana elimu gani?

Kuhusiana na mambo ya mikataba, ili uweze japo kuingia chumba alicho Prof. Shivji na kuanza kuhojiana nae inakupasa angalau uwe na shahada ya kwanza ya sheria.

Vinginevyo huyu Bwana Mwaipopo atafute watu wa hadhi yake ajadiliane nao.

Tusiruhusu watu wenye akili ndogo wapanue midomo yao kiasi cha kufanya watu wenye akili kubwa wasisikike, tutaliua taifa.
.
 
Wewe biashara unafanya wapi? Kama ni muajiriwa wa taasisi yoyote ya umma, basi sio mfanyabiashara.
Bandarini

Kila mwezi nashusha kontena mbili tatu kutokea Canada na USA.

Wewe Pengine ushavaa mitumba ya nguo na viatu nnavookota Canada na kuvileta huko.

Unafikiri mimi Shivji mwenye kujaza watu ujinga?
 
Prof. Shivji ni kati ya maprof. wachache waliodumu kwa muda mrefu UDSM, akiwapa watu mbalimbali maarifa ya sheria. Na hawa watu wametapakaa nchi nzima, kwenye taasisi nyingi, mpaka ndani ya Serikali.

Huwezi kusikia msomi yeyote akitoa kashfa dhidi ya prof. Shivji. Lakini wajinga wasiojielewa na waliofubaa akili na maarifa utawasikia wakisema eti Shivji hana mchango kwa Taifa.

Hakuna mchango muhimu na mkubwa hapa duniani kama kuwapa watu elimu na maarifa ili wayamudu mazingira yao.

Halafu badala ya hoja wanatoa vitisho? Nani asiyejua lakuvunda halina ubani? Sio duniani wala akhenaten. Limevunda tuuuu
 
Kama professor kasema mwenye elimu ya madrasa atanishawishi nini sheikh atoe dahwa aya mengine ayaache tu.
 
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu ,kazi Yao ni kupinga Kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.

dah elimu ahela, ongea yake tu unailink na uwezo wake wa kuchanganua mambo, yaani kama ndio kiongozi yuko hivi basi ni kazi ni aibu.

sio uislamu ninaoujua mie, sio kwa kweli: nadhani mada ni kubwa kuliko uwezo wake, na ni aibu kwa kweli kama ndio mnamtete samia dah inasikitisha sana.

halafu kapewa na mike anaongea upuuzi, dah
 
Mchumia tumbo huyo shehe. Alafu Mwaipopo amekuwaje shehe huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787], kule Mbeya vitimoto vinatembea mitaani free kama wananchi wa kawaida kabisa.

Au ndio wale mashehe na wachungaji wa mfumo, wako huko kwa ajenda maalumu.
Huyo Mwaipopo unaijua historia yake? Alikuwa mkristo. Wakati wa vuguvugu la kuingiza uislam wenye msimamo mkali nchini, wakati wa utawala wa Mwinyi, yeye ni miongoni mwa wale waliamua kutumikia tumbo, akatekwa na pesa ya waarabu, na ili atengeneze mazingira ya kyzidi kushibishwa zaidi, akaamua kuslim.

Yeye wakati wote anaangalia zaidi tumbo linampeleka wapi. Kauli kama hizi, anatengeneza mtego wa kunasa pesa ya waarabu wa DP.
 
dah elimu ahela, ongea yake tu unailink na uwezo wake wa kuchanganua mambo, yaani kama ndio kiongozi yuko hivi basi ni kazi ni aibu.

sio uislamu ninaoujua mie, sio kwa kweli: nadhani mada ni kubwa kuliko uwezo wake, na ni aibu kwa kweli kama ndio mnamtete samia dah inasikitisha sana.

halafu kapewa na mike anaongea upuuzi, dah
Bora uwaambie ukweli. Anachukua madaraka ya kutoa onyo kama nani?
 
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu ,kazi Yao ni kupinga Kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
Huwezi kulinganisha njaa., akili, hekima na upeo wa Prof na huyo shekh wako, mwambie hata Mungu kuna watu wanamkosoa, sembuse huyo mtoka mavumbini.
 
Back
Top Bottom