Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Bila shaka utakuwa muajiriwa wa muda mrefu wa hao maboss wanaoshusha kontena mbili kila mwezi umeamua kujipa ukuu hapa jukwaani kwamba wewe ndie boss. Maboss wengi hapo kariakoo ninao wafahamu hawana hulka ya kubwabwaja mitandaoni kujikomba kwa watawala ama kusifia kama hufanyavyo weweBandarini
Kila mwezi nashusha kontena mbili tatu kutokea Canada na USA.
Wewe Pengine ushavaa mitumba ya nguo na viatu nnavookota Canada na kuvileta huko.
Unafikiri mimi Shivji mwenye kujaza watu ujinga?