Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

hawa ndio watu unaotegemea wakunyooshe ukae karibu na utukufu wa Mungu.. ndio hawa.. kweli itakuwa rahisi Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Kama anaogopa serikali atakuwa anamuogopa hata iblis
 
Bila shaka utakuwa muajiriwa wa muda mrefu wa hao maboss wanaoshusha kontena mbili kila mwezi umeamua kujipa ukuu hapa jukwaani kwamba wewe ndie boss. Maboss wengi hapo kariakoo ninao wafahamu hawana hulka ya kubwabwaja mitandaoni kujikomba kwa watawala ama kusifia kama hufanyavyo wewe
Akili zako za kitumwa, zimeishia kwenye kuajiriwa tu. Think big. If you know what I mean.
 
Huyo mwapopo mgongo wa shangazi yake ,shivji kashuka mlolongo wa hoja yeye mwaipopo anakuja kujibu tu "okey"
 
Mchumia tumbo huyo shehe. Alafu Mwaipopo amekuwaje shehe huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787], kule Mbeya vitimoto vinatembea mitaani free kama wananchi wa kawaida kabisa.

Au ndio wale mashehe na wachungaji wa mfumo, wako huko kwa ajenda maalumu.
Shekhe la mchongo, Shekhe ubwabwa, Shekhe njaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

View attachment 2674579

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
Hawa wakina mwaipopo wakamalizanw kwanza na Dr. Mwaka huko hapa ni suala la Tanganyika na bandari zake. Hili suala limemzidi uwezo wake wa kugawa gahawa mitaani
 
Hivi mashekh wanakula ga ubwabwa tu hawali chakula kingine? Au ni kuwadhihaki tu.
Kwa miaka mingi mashehe hula sana ubwabwa tena mwingi ktk tafrija. Sisi tulipokuwa wadogo ktk kuvamia sherehe huwa tunatafuta kukaa karibu na mashehe maana huwa wanapendelewa sana chakula kingi na kizuri. Lakini hii haikuwa kitu kibaya kwa sababu mashehe hufanikisha sherehe nyingi uswahilini. Sema baadaye ikaja kutafsirika hivyo kwa kuwadharau.
 
Huyo Mwaipopo unaijua historia yake? Alikuwa mkristo. Wakati wa vuguvugu la kuingiza uislam wenye msimamo mkali nchini, wakati wa utawala wa Mwinyi, yeye ni miongoni mwa wale waliamua kutumikia tumbo, akatekwa na pesa ya waarabu, na ili atengeneze mazingira ya kyzidi kushibishwa zaidi, akaamua kuslim.

Yeye wakati wote anaangalia zaidi tumbo linampeleka wapi. Kauli kama hizi, anatengeneza mtego wa kunasa pesa ya waarabu wa DP.
Nilitaka kushangaa mnyakyusa muilslamu! Kumbe alislim
 
Ni maajabu ya Dunia. Yaani mtu kama wewe ambaye una IQ ya chini kabisa, siyo kwamba huna mchango, bali ni hasara tupu, halafu unaamini unamzidi gwiji wa sheria prof. Shivji!!!
Mkuu usitukane pale unapozidiwa na hoja,
Usilazimishe kila unachoamini wewe ni sahihi,

Kwa staili hii sidhani kama una uwezo wa kusikiliza hoja kizani toka kwa watoto wako

Mimi ni mtu mzima na tulilelewa na wale wazazi walioishi na wakoloni wao sheria ni sheria ,Anachosema Baba wewe mtoto ni kufuata tu

Nategemea wewe umezaliwa baada ya uhuru hujakuta mambo ya kikoloni kuwa asemalo Baba ni sahihi tu

Usitukane,Jifunze kuwa positive na kukubali kuwa human being are diverse
 
Hawa watetezi wengine wa bandari wanavuruga zaidi kuliko kutengeneza. Shame
 
Qaliosomeshwa na Shivji ndiyo katika walioenda shule za kusomea ujinga.

Ndiyo maana Tanzania inadidimia kwa kuina mtu kama huyo ana maarifa.


Mie nilikuwa nahisi mtu mwenye maana kumbe poyoyo.

Unaoewaje maarifa na mtu asiye na maarifa? Unajazwa ujinga tu.

We bibi mpumbafu kweli,
 
Mama samiah siasa anaziweza sana!

Naona Baada ya Bakwata kumsemea Pengo na yeye mama kaibuka na Mwaipopo na kweli huyu ni popobawa haswaa!!

LAKINI

Katika NCHI ni siasa PEKEE NDIO huongoza nchi!!?je vitengo na deep state ambao operations zao hazionekani wao anajua maoni yao kuhusu hili jambo la dp world!?
 
Back
Top Bottom