Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

Daah pana Shekhe anaitwa Mwaipopo...atakua wale wa ubwabwa na kufungisha ndoa za mkeka..
 
Huyu tapeli na mganganjaa kama baba yake Abubakar Mwaipopo jambazi aliyesilimishwa na kuwaibia waislam hadi uarabuni. Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka. Hana alijualo zaidi ya njaa. Huyu anaweza kutoa hata nyumxxx mradi tonge liingie tumboni. Si shehe bali shehena tena la maviiii
Hana uhusiano wowote na abubakar mwaipopo,hehehehe!!
 
Back
Top Bottom