Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

Dp world wamefanya la maana sana kuwaswitch off wabongo maana kuna wengine wanacomment upumbavu tu, wanafikiri kule ni udaku udaku.
 
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

View attachment 2674579

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.

===
Sheikh Mwaipopo amesema Shivji hajawahi kusapoti jambo lolote la serikali tangu enzi za Mwalimu, yeye kazi yake ni kulaani na kukosoa tu.

Amesema kwa mujibu wa waziri Mkuu ni kuwa, TICTS ilikuwa inaipa Tanzania trilioni 7 kwa mwaka ambapo DPW italipa trilioni 20.

Amesema Rais ampuuze Shivji
Wanyakyusa hawajawahi kuacha kula kitimoto... Mwaipopo awe shekhe??? Na kitimoto amuachie nani??? Huyo Mwaipopo njaa ina msumbua tu...hana elimu yyte zaidi ya madrasa tu, unategemea ajibu nn ??? Analeta ngojera badala ya kujibu hoja...

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Hivi udini unawapa faida gani? Kwanini umdharau mwenzio ilhali humjui A to Z! Kwanza umejuaje anatumia kitimoto!! Aloo, hii sio Facebook!

Mwaipopo angelikua si muislamu ungekuja na dharau hizi! Mnakera sana
 
Mnyakusa na kitimoto ni chupi na tako
 
Tunapoambiwa DP wataiwezesha TZ kuvuna 27 trillion kwa mwaka tusiishie kufurahia tu, turudi nyuma tukahoji mikata kama ya gas na madini tuliahidiwa Nini na je yalitimia?
 
Watu kama hao wanahitajika sana, ili kuifungua macho serikali...
 
Huyo profesa wako biashara kaifanya wapi?

Huyi kazi yake ilikuwa kujaza watu ujinga tu.

Ikiwa wanafunzi wake ndiyo kama wewe? Khaa!
Wewe bora tu ungezaliwa Afghanistan au Irani. Ikiwezekana uhamie huko. Umetanguliza dini kuliko kitu chochote.

Unatudanganya ni Mwana CCM wakati siyo kweli. Interest yako iko kwenye udini zaidi ya chama.
 
Sheikh wa Sheitan anaongea ushetani mtupu kama Koran inavyofundisha... person attack and huna hoja unajikinga kwa hao hao waovu wanaouza nchi.. ujinga wa mashehe wa kiislam hawana elmu wala akili zap welalili Koran na hawajui tafsiri.... wewe popo soma vifungu nini vimeandikwa na sio kusema eti Spika amesema au waziri kasema hivi? Hujui kusoma?

Kwanza ukitakiwa kusoma maneno wa mtume wako kuwa Mwanamke akipewa uongozi mkubwa hiyo nchi itaangamia.... wanawake ni haram kuongoza nchi... shehe ubwabwa
 
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

View attachment 2674579

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.

===
Sheikh Mwaipopo amesema Shivji hajawahi kusapoti jambo lolote la serikali tangu enzi za Mwalimu, yeye kazi yake ni kulaani na kukosoa tu.

Amesema kwa mujibu wa waziri Mkuu ni kuwa, TICTS ilikuwa inaipa Tanzania trilioni 7 kwa mwaka ambapo DPW italipa trilioni 20.

Amesema Rais ampuuze Shivji
hawa wameshiba ubwabwa hata hawajui wanachokiongea. wanatakiwa wakemewe kwasababu wanaiaibisha hata dini. mtu wa dini huwezi kuwa na maneno ya shombo kama unaongea wanawake kwa wanawake. au amezoea kuimba taarabu?
 
Mchumia tumbo huyo shehe. Alafu Mwaipopo amekuwaje shehe huyo 🤣🤣🤣, kule Mbeya vitimoto vinatembea mitaani free kama wananchi wa kawaida kabisa.

Au ndio wale mashehe na wachungaji wa mfumo, wako huko kwa ajenda maalumu.
hata mimi nimeshangaa shehe mwaipopo. wapo lakini. ila, hivi huyu hajawahi kwenda kwa jordevie kupata milioni tano kweli? sio wale mashehe wa mchongo? mbona ile shura ya maimam wameandika baadhi ya vitu vyenye akili? huyu shehe yeye ni tofauti na wale wenzake?
 
Wewe bora tu ungezaliwa Afghanistan au Irani. Ikiwezekana uhamie huko. Umetanguliza dini kuliko kitu chochote.

Unatudanganya ni Mwana CCM wakati siyo kweli. Interest yako iko kwenye udini zaidi ya chama.

Nakuona ukiumia na kuteseka, pole mkuu.. huyo ndio faiza
 
Back
Top Bottom