Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Muhim Mearabu atawale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyakyusa hawajawahi kuacha kula kitimoto... Mwaipopo awe shekhe??? Na kitimoto amuachie nani??? Huyo Mwaipopo njaa ina msumbua tu...hana elimu yyte zaidi ya madrasa tu, unategemea ajibu nn ??? Analeta ngojera badala ya kujibu hoja...Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.
View attachment 2674579
My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..
Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.
Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
===
Sheikh Mwaipopo amesema Shivji hajawahi kusapoti jambo lolote la serikali tangu enzi za Mwalimu, yeye kazi yake ni kulaani na kukosoa tu.
Amesema kwa mujibu wa waziri Mkuu ni kuwa, TICTS ilikuwa inaipa Tanzania trilioni 7 kwa mwaka ambapo DPW italipa trilioni 20.
Amesema Rais ampuuze Shivji
Wanyakyusa hawajawahi kuacha kula kitimoto... Mwaipopo awe shekhe??? Na kitimoto amuachie nani??? Huyo Mwaipopo njaa ina msumbua tu...hana elimu yyte zaidi ya madrasa tu, unategemea ajibu nn ??? Analeta ngojera badala ya kujibu hoja...
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Tangu lini mnyakii akawa Sheikh?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii imeenda. Woiiiiiiih
Mnyakusa na kitimoto ni chupi na takoHivi udini unawapa faida gani? Kwanini umdharau mwenzio ilhali humjui A to Z! Kwanza umejuaje anatumia kitimoto!! Aloo, hii sio Facebook!
Mwaipopo angelikua si muislamu ungekuja na dharau hizi! Mnakera sana
Toa ushahidi kwa bandiko langu, humu JF, japo hata mojaKumbuka na wewe ulishapitia kazi ya uchawa sema kwa sasa umepumzika
Msiwe mnakurupuka
Wewe bora tu ungezaliwa Afghanistan au Irani. Ikiwezekana uhamie huko. Umetanguliza dini kuliko kitu chochote.Huyo profesa wako biashara kaifanya wapi?
Huyi kazi yake ilikuwa kujaza watu ujinga tu.
Ikiwa wanafunzi wake ndiyo kama wewe? Khaa!
hawa wameshiba ubwabwa hata hawajui wanachokiongea. wanatakiwa wakemewe kwasababu wanaiaibisha hata dini. mtu wa dini huwezi kuwa na maneno ya shombo kama unaongea wanawake kwa wanawake. au amezoea kuimba taarabu?Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.
View attachment 2674579
My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..
Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.
Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
===
Sheikh Mwaipopo amesema Shivji hajawahi kusapoti jambo lolote la serikali tangu enzi za Mwalimu, yeye kazi yake ni kulaani na kukosoa tu.
Amesema kwa mujibu wa waziri Mkuu ni kuwa, TICTS ilikuwa inaipa Tanzania trilioni 7 kwa mwaka ambapo DPW italipa trilioni 20.
Amesema Rais ampuuze Shivji
hata mimi nimeshangaa shehe mwaipopo. wapo lakini. ila, hivi huyu hajawahi kwenda kwa jordevie kupata milioni tano kweli? sio wale mashehe wa mchongo? mbona ile shura ya maimam wameandika baadhi ya vitu vyenye akili? huyu shehe yeye ni tofauti na wale wenzake?Mchumia tumbo huyo shehe. Alafu Mwaipopo amekuwaje shehe huyo 🤣🤣🤣, kule Mbeya vitimoto vinatembea mitaani free kama wananchi wa kawaida kabisa.
Au ndio wale mashehe na wachungaji wa mfumo, wako huko kwa ajenda maalumu.
Mnyakusa na kitimoto ni chupi na tako
Wewe bora tu ungezaliwa Afghanistan au Irani. Ikiwezekana uhamie huko. Umetanguliza dini kuliko kitu chochote.
Unatudanganya ni Mwana CCM wakati siyo kweli. Interest yako iko kwenye udini zaidi ya chama.