ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mdhalilishe.Shivji ana kipi Cha maana Kwa umri wake amewahi changia Tanzania?Machawa at work!!
Usitake tumdhalilishe huyo shehe. Unalinganisha chawa na Profesa Shivji??????????
Msiwe mnakurupukaShehee ubwabwa ameshiba ubwabwa. Badala ya kujibu vipengele yeye analeta stori za kuunga serikali
Hivi mashekh wanakula ga ubwabwa tu hawali chakula kingine? Au ni kuwadhihaki tu.Shehee ubwabwa ameshiba ubwabwa. Badala ya kujibu vipengele yeye analeta stori za kuunga serikali
Kwa nini unashabikia wanao washambulia watu wanaopinga IGA badala ya kujadili hoja zao? Au ndio UCHAWA wa kiwango cha PhD?Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.
My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..
Kiufupi hana tofauti na Lisu ,kazi Yao ni kupinga Kila kitu.
Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
Waislamu wanapambania mabwana zao kupewa inchiMdhalilishe.Shivji ana kipi Cha maana Kwa umri wake amewahi changia Tanzania?
Wewe umechangia nini?,freedom of speech ipo wapi?,hayo ni maoni yake na huna mamlaka ya kuyapiga Nyundo, hoja ijibiwe na hoja iliyo bora sio vitisho, kama hukubaliani na hoja ya professor, njoo na hoja iliyo bora zaidiMdhalilishe.Shivji ana kipi Cha maana Kwa umri wake amewahi changia Tanzania?
If you’re smart then you can’t be a true Muslim . They sayWaislamu wanapambania mabwana zao kupewa inchi
Sasa kama hujui Mchango wa Prof Shivji kwenye hii nchi unajua Nini? Achana na vitu usivyovijuaNaunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.
My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..
Kiufupi hana tofauti na Lisu ,kazi Yao ni kupinga Kila kitu.
Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
Wewe tueleze.nini.mchango wakeSasa kama hujui Mchango wa Prof Shivji kwenye hii nchi unajua Nini? Achana na vitu usivyovijua
Ww unaamini mchango wa mtanzania ni lazima awe rais, au waziri ndio unajua katoa mchango kwa nchi. Kwa taarifa yako mchango namba moja kwa nchi ni kulipa kodi. Na hakuna mtanzania asiyelipa kodi, iwe direct au indirect. Kama Shivji halipi kodi hapo ndio unaweza kusema hana mchango kwa nchi hii.Mdhalilishe.Shivji ana kipi Cha maana Kwa umri wake amewahi changia Tanzania?