Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ipo lakini ni ngumu kama huna roho ya kuua kama wao.hivi hamna namna ya kumyamazisha huyu!
Jamaa katumwa na aliemtuma Jaji Lila aje aropoke na kulipwa kashalipwa sasa ulitaka aseme nini na aliemtuma amemwambia aseme hivyo, halafu anajiita Shekhe hio Shekhe jina la kisanii au Shekhe Shekhe hawa tunaowajua Mashekhe? maana kuna Shekhe mmoja ni rafiki yangu sana ila hana hizi tabia za huyuhivi hamna namna ya kumyamazisha huyu!
Sheikh Mwaipopo amesema kuwa, “Kwa hiyo, hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja, mngewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba iliyozama, mngewaombea waliokufa kwenye ajali hiyo, ingekuwa bora zaidi.”
"tufike sehemu ya Tanzania tuelezane ukweli. Kwa hiyo hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja mgewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba ilizama mgewaombea awale ingekuwa ni bora zaidi kuna ile boti ilizama ya kutoka hapa kwenda Pemba mgewaombea wale... mungemwombea mwalimu Nyerere mzee Abed Amani Karume... mnakwenda kuombea watu waovu waliotaka kutumaliza sisi..
Soma Pia: Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa
MWAIPOPO AMEKUWA KAMA NGURUWE ANAYETAMANI KUPANDWA! HALINDI MGONGOSheikh Mwaipopo amesema kuwa, “Kwa hiyo, hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja, mngewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba iliyozama, mngewaombea waliokufa kwenye ajali hiyo, ingekuwa bora zaidi.”
"tufike sehemu ya Tanzania tuelezane ukweli. Kwa hiyo hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja mgewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba ilizama mgewaombea awale ingekuwa ni bora zaidi kuna ile boti ilizama ya kutoka hapa kwenda Pemba mgewaombea wale... mungemwombea mwalimu Nyerere mzee Abed Amani Karume... mnakwenda kuombea watu waovu waliotaka kutumaliza sisi..
Soma Pia: Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa
hivi hamna namna ya kumyamazisha huyu!
Muislamu hata asome vp..tena bora Muislamu asiye na elimu kwa taifa kuliko mwenye elimu ..kanuni inasema ..kanuni inasema msomi mpumbavu ni mbaya kuliko asiye msomi mpumbavu .......WAISLAMU WOTE ILITAKIWA ELIMU YAO IWE NI DARASA LA 4 AU LA 7 TU ZAIDI YA HAPO NI HASARA KUBWA KWA TAIFA.Shekhe ubwabwa.
Tatizo lake elimu ya darasa la nne.
Huyo Sheikh Mwaipopo tunaomba afe ili tupate kumwombeaSheikh Mwaipopo amesema kuwa, “Kwa hiyo, hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja, mngewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba iliyozama, mngewaombea waliokufa kwenye ajali hiyo, ingekuwa bora zaidi.”
"tufike sehemu ya Tanzania tuelezane ukweli. Kwa hiyo hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja mgewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba ilizama mgewaombea awale ingekuwa ni bora zaidi kuna ile boti ilizama ya kutoka hapa kwenda Pemba mgewaombea wale... mungemwombea mwalimu Nyerere mzee Abed Amani Karume... mnakwenda kuombea watu waovu waliotaka kutumaliza sisi..
Soma Pia: Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa
Duh! Kuomba nako mtu anapangiwa cha kuombea🤔Sheikh Mwaipopo amesema kuwa, “Kwa hiyo, hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja, mngewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba iliyozama, mngewaombea waliokufa kwenye ajali hiyo, ingekuwa bora zaidi.”
"tufike sehemu ya Tanzania tuelezane ukweli. Kwa hiyo hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja mgewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba ilizama mgewaombea awale ingekuwa ni bora zaidi kuna ile boti ilizama ya kutoka hapa kwenda Pemba mgewaombea wale... mungemwombea mwalimu Nyerere mzee Abed Amani Karume... mnakwenda kuombea watu waovu waliotaka kutumaliza sisi..
Soma Pia: Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa
Hawa ndio wale walionenwa kwa vinywa vya manabii na mirume "instruments of the devil".Sheikh Mwaipopo amesema kuwa, “Kwa hiyo, hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja, mngewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba iliyozama, mngewaombea waliokufa kwenye ajali hiyo, ingekuwa bora zaidi.”
"tufike sehemu ya Tanzania tuelezane ukweli. Kwa hiyo hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja mgewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba ilizama mgewaombea awale ingekuwa ni bora zaidi kuna ile boti ilizama ya kutoka hapa kwenda Pemba mgewaombea wale... mungemwombea mwalimu Nyerere mzee Abed Amani Karume... mnakwenda kuombea watu waovu waliotaka kutumaliza sisi..
Soma Pia: Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa
Hao ndio mawakala wa the devil.Duh! Kuomba nako mtu anapangiwa cha kuombea🤔
Acha kuzusha usichojua. Lete kauli yoyote ya Askofu uliyosema waliouawa 2001 ni magaidi. Ni Kanisa Katoliki lililomtenga Mkapa muumini wake kwa Mauaji yale bila kujali nafasi yake. Lini BAKWATA imwmkemea Samia Kwa Mauaji?Ukweli kwenu mwiko mpo kinafiki nafiki kama Makasuku!!!!
Waandamanaji wasiofata Sheria kama hawa waliuwawa 2001 kupinga Tume ya Uchaguzi wakitaka mabadiliko ya Katiba
WAkaitwa Magaidi Vibalaka w⁶a Waarabu wapigwe ndio kauli za Kanisa katoliki mwaka 2001
Leo wanajifanya HAKI pasipo na Haki
Haki au chuki dhidi ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwakuwa ni Muislamu
Kabla ya kukandamizwa yale Maandamano Fake
Sababu za kuandamana zilikuwa nini ?????
Chuki sio nzuri kuendekeza chuki kunageuka na kuwa Pepo chafu Shetani mwisho Pepo linakutuma kutenda jambo baya mwisho majuto mkuu !!!
Chuki yenye matunda ni kuona mwenzio Shamba lake zuri linapendeza
Nawewe pigana vikumbo na Shetani wa chuki !!!
kupambania Shamba lako liwe zuru sana kupita lile la mwenzio chuki unaweza kuitumia kupata mafanikio ya kijamii !!!
Sasa we jinga unawaza kwenda kufeka mazuri ya mwenzio mfanane Umasikini wenu!!
Sasa mnaimbiswa Samia must go Aleluyaaaaa
Huku ni kuchagua njia ya Shetani kupambana na mafanikio ya mwenzio ✍️
Mwaipopo wawili😂😂Sheikh Mwaipopo amesema kuwa, “Kwa hiyo, hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja, mngewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba iliyozama, mngewaombea waliokufa kwenye ajali hiyo, ingekuwa bora zaidi.”