Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sheikh Mwaipopo amesema kuwa, “Kwa hiyo, hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja, mngewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba iliyozama, mngewaombea waliokufa kwenye ajali hiyo, ingekuwa bora zaidi.”
"tufike sehemu ya Tanzania tuelezane ukweli. Kwa hiyo hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja mgewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba ilizama mgewaombea awale ingekuwa ni bora zaidi kuna ile boti ilizama ya kutoka hapa kwenda Pemba mgewaombea wale... mungemwombea mwalimu Nyerere mzee Abed Amani Karume... mnakwenda kuombea watu waovu waliotaka kutumaliza sisi..
Soma Pia: Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa