Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sheikh Said Mwaipopo kile alichokuwa akikiita kikosi chake hatari cha 'Chui weusi' hawakuwa askari wala hakutumwa na serikali bali walikuwa ni raia na aliyokuwa anayafanya alifanya kwa ajili ya uzalendo
Amesema hayo leo Septemba 4, 2026 mara baada ya kukaa kikao alichoitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi huku akiomba msamaha kwa yale ambayo amekosea.
Hata hivyo amesisitiza kuwa ataendelea kuwa mzalendo kwa nchi yake.