Sheikh Mwaipopo: Nilifanya kwa ajili ya uzalendo, yale mabaya nisamehewe

Sheikh Mwaipopo: Nilifanya kwa ajili ya uzalendo, yale mabaya nisamehewe

kuna video nimeona akiwa anatembea mbona kama anatembea upande na mwanzo hakuwa hivi
 

Attachments

  • Cam.png
    Cam.png
    336.1 KB · Views: 9
  • Home-Page_800.png
    Home-Page_800.png
    41.9 KB · Views: 6
kuna video nimeona akiwa anatembea mbona kama anatembea upande na mwanzo hakuwa hivi

Sheikh Said Mwaipopo kile alichokuwa akikiita kikosi chake hatari cha 'Chui weusi' hawakuwa askari wala hakutumwa na serikali bali walikuwa ni raia na aliyokuwa anayafanya alifanya kwa ajili ya uzalendo

Amesema hayo leo Septemba 4, 2026 mara baada ya kukaa kikao alichoitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi huku akiomba msamaha kwa yale ambayo amekosea.

Hata hivyo amesisitiza kuwa ataendelea kuwa mzalendo kwa nchi yake.

Wewe ndiyo Mzalendo?kwanini aside TAL waliouwawa waliotekwa na wanaoshikiliwa?Hakika Tanzania mambo ni kichwa chini miguu juu.Kama haya maneno yako na matendo yanamaanisha Uzalendo.
 
Back
Top Bottom