Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huu sio uhaini Wala ugaidi!Sheikh Said Mwaipopo kile alichokuwa akikiita kikosi chake hatari cha 'Chui weusi' hawakuwa askari wala hakutumwa na serikali bali walikuwa ni raia na aliyokuwa anayafanya alifanya kwa ajili ya uzalendo
Amesema hayo leo Septemba 4, 2026 mara baada ya kukaa kikao alichoitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi huku akiomba msamaha kwa yale ambayo amekosea.
Hata hivyo amesisitiza kuwa ataendelea kuwa mzalendo kwa nchi yake.
View attachment 3663205

Kabisa hapo changalamotoMwaipopo ni mpumbavu
Aliyemuita ni mpumbavu
Tangu lini wazir akafanya kazi za polisi na makama?
Wanafanya haya kufifisha mjadala wa nchimbi . Wajinga hawa
Mwaipopo ni mpumbavu
Aliyemuita ni mpumbavu
Tangu lini wazir akafanya kazi za polisi na makama?
Wanafanya haya kufifisha mjadala wa nchimbi . Wajinga hawa
CCM mazafakas think we’re clowns. Raia wema wako mahabusu kwa tuhuma za makosa ya ugaidi, lakini mazafaka aliyeunda mpaka kikosi cha kigaidi yuko huru, anaitika wito wa kishikaji kutoka kwa mwanasiasa mwenye dhamana ya usalama wa raia na mali zao.Sheikh Said Mwaipopo kile alichokuwa akikiita kikosi chake hatari cha 'Chui weusi' hawakuwa askari wala hakutumwa na serikali bali walikuwa ni raia na aliyokuwa anayafanya alifanya kwa ajili ya uzalendo
Amesema hayo leo Septemba 4, 2026 mara baada ya kukaa kikao alichoitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi huku akiomba msamaha kwa yale ambayo amekosea.
Hata hivyo amesisitiza kuwa ataendelea kuwa mzalendo kwa nchi yake.
Huyo kasemehewa 🙆♂️🙆♂️Huyu sasa ndiyo alitakiwa kukamatwa kwa kesi ya ugaidi! Kwa sababu alituthibitishia hadharani. Na siyo yule mkufunzi wa Udom aliyetumia elimu yake kuwafundisha wanafunzi darasani.
Sheikh Said Mwaipopo kile alichokuwa akikiita kikosi chake hatari cha 'Chui weusi' hawakuwa askari wala hakutumwa na serikali bali walikuwa ni raia na aliyokuwa anayafanya alifanya kwa ajili ya uzalendo
Amesema hayo leo Septemba 4, 2026 mara baada ya kukaa kikao alichoitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi huku akiomba msamaha kwa yale ambayo amekosea.
Hata hivyo amesisitiza kuwa ataendelea kuwa mzalendo kwa nchi yake.
Mpuuuzi huyo hatukubali tushamwona na kwa vile wanaweka taarifa zao kwenye ulimwengu wetu huku ambako sisi tukitoa taarifa wanasema tunapotosha. Tutawapelekea moto vibaya sanaSamia anamtumia huyo waziri kujisafisha, huyo mpumbavu kuunda hicho kikundi ndio ugaidi wenyewe wenye baraka ya samia
Jina lake tu linatosha kupata msamaha. Maana kuwa kichwa chini miguu yote sio jambo jepesi kabisa.Wazazi muwe makini mnapochagua kuwapa watoto wenu majina ya WanyamaSheikh Said Mwaipopo kile alichokuwa akikiita kikosi chake hatari cha 'Chui weusi' hawakuwa askari wala hakutumwa na serikali bali walikuwa ni raia na aliyokuwa anayafanya alifanya kwa ajili ya uzalendo