Sheikh Mwaipopo: Waislamu ni Walalamishi, wanafiq na wapo Disorganized

Kama kweli hivi,mtu mweusi anafanya uslam wa kuji practice kuwa mwarabu zaidi kuliko kumuabudu Mungu.
 
Hawa ndugu huwa hawatakagi kitu, 'ukweli mchungu'.....Mwaipopo subiri wanakuja.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mwaipopo ni shekhe! Mnyakyusa na uislamu wapi na wapi.... Nimesoma Mbeya kuanzia shuleni ya msingi mpaka form six sijawahi kusoma na mnyakyusa muislamu.... mwaisa achana na dini za watu aisee
 
Mtu halafu anaachaje dini za watu?
 
Hata Shekhe Kishk katoka kuongea kitu kama hiki
Kuna ile "upande wa pili akiguswa Mtu au kongozi wote wanakuwa wakali na waraka nzito nzito ila sisi Mtu anajivunia kuwa kimya kwa wenzao wanaoteswa kwa miaka Tisa naa "
 
Kama kweli hivi,mtu mweusi anafanya uslam wa kuji practice kuwa mwarabu zaidi kuliko kumuabudu Mungu.
Mtu mweusi na Mungu wapi na wapi ? watu weusi wana taratibu zao kama hutaki ya watu wengine usiishie kwa uislamu sema pia na ukristo , budha, n.k
 
Mwaipopo ni shekhe! Mnyakyusa na uislamu wapi na wapi.... Nimesoma Mbeya kuanzia shuleni ya msingi mpaka form six sijawahi kusoma na mnyakyusa muislamu.... mwaisa achana na dini za watu aisee
Kaongea uongo?
 
Kuna ile "upande wa pili akiguswa Mtu au kongozi wote wanakuwa wakali na waraka nzito nzito ila sisi Mtu anajivunia kuwa kimya kwa wenzao wanaoteswa kwa miaka Tisa naa "
Hao wanaoteswa kwa miaka tisa+, waliwekwa ndani na nani?
 
Mwaipopo ni shekhe! Mnyakyusa na uislamu wapi na wapi.... Nimesoma Mbeya kuanzia shuleni ya msingi mpaka form six sijawahi kusoma na mnyakyusa muislamu.... mwaisa achana na dini za watu aisee
Kumbuka uislamu ni dini ya waarabu hata mtu mweusi haimhusu. Waarabu wanatumia lugha ya kiarabu ila wewe sasa ukiletewa hata hiyo Quran uisome. Utatoa macho ndiyo maana kuna dj mack na lufufu ili kupata maana
 
Back
Top Bottom