Empty headKiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kuwa waraka uliotolewa na Baraza la maskofu nchini TEC unatia hasira, amesema haki ili ipatikane lazima ufuate misingi.
Sio waisalmu.Waislam wanaulinda utawala wa Samia kwa sababu za kidini.
Bakwata ni moja ya matatizo yaliosukwa na Nyerere ikiwemo CCM na katiba hii tunayo pambana nayo sasa.Sio waisalmu.
Sema mashehe wa bakwata wanaonufaika na CCM.
Waislamu tunaojielewa kama mimi hatuwezi kuukubali utawala wa hovyo wa bibi manyonyo.
Mwisho wao unakribia.Bakwata ni moja ya matatizo yaliosukwa na Nyerere ikiwemo CCM na katiba hii tunayo pambana nayo sasa.
Naam , nyerere fucked up bakwata good time, leo imekuwa taasis weakBakwata ni moja ya matatizo yaliosukwa na Nyerere ikiwemo CCM na katiba hii tunayo pambana nayo sasa.
Wajinga sana hawa watu(japo wapo wanaojitambua)Waislam wanaulinda utawala wa Samia kwa sababu za kidini.
huyu shekhe ubwabwa akili yake inatambua njia ya kwenda chooni tu.Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kuwa waraka uliotolewa na Baraza la maskofu nchini TEC unatia hasira, amesema haki ili ipatikane lazima ufuate misingi.
Huyo sheikh sharifu majini aliandamana? Aliuawa na waandamanaji? Msipende kuleta propaganda za udini kwenye mambo ya msingi ya kuikomboa nchi, wewe mleta mada na Sheikh wako huyu wote ni zero brainView attachment 3503723
Waislamu tuepuke kukururupuka hata pale tunapodai haki, tutetee amani kwanza. Ukifuatilia tafakuri ya TEC ni kutiana hasira badala ya kupeana imani.
Tatizo ni kum rate mtu kwa Juzuu alizomaliza....sasa juzuu na formal learning wapi na wapiKiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kuwa waraka uliotolewa na Baraza la maskofu nchini TEC unatia hasira, amesema haki ili ipatikane lazima ufuate misingi.
na anaswali ijumaaKiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kuwa waraka uliotolewa na Baraza la maskofu nchini TEC unatia hasira, amesema haki ili ipatikane lazima ufuate misingi.
kama hujawai ishi na waislam huez mwelewa huyu sheilkh , baadhi ya watu weus wanautumia vibaya na kuuchafuaKiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kuwa waraka uliotolewa na Baraza la maskofu nchini TEC unatia hasira, amesema haki ili ipatikane lazima ufuate misingi.