McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Katika hotuba yake kwenye maadhimisho ya Maulid, Sheikh Mziwanda amewakosoa wanaosema Tanzania hakuna maendeleo
"Uhuru ukikosa mipaka ni uwendawazimu... Sasa kuna uhuru wa kusema lolote na chochote popote... Uhuru huu utatuharibia taifa letu."
"Tusio kila kitu cha kuiga. Wenzetu wameamua kukata kamba, wenzetu wameamua kuwa mafedhuli ndivyo walivyoumwa... Lakini sisi tumesema dini yetu imeanza na utu kabla ya sala. Tuanze na utu wetu tweshimu wakubwa wetu."
"Hawa watoto wa 2015 wanasema hakuna maendeleo, ulikuwepo? Nchi hii tumekaa foleni mpaka Unga wa Manjano... Leo mtu anakuja anakurupuka kusema nchi haina maendeleo, unataka maendeleo gani?"
"Leo taifa letu nyumba moja mpaka ina magari 10 za kutembelea. Huko nyuma Dar es Salaam ilikuwa na magari matano tu, Dar es Salaam nzima!"