Ana Elimu maana tusijadili matamko ya VICHAAKatika hotuba yake kwenye maadhimisho ya Maulid, Sheikh Mziwanda amewakosoa wanaosema Tanzania hakuna maendeleo
"Uhuru ukikosa mipaka ni uwendawazimu... Sasa kuna uhuru wa kusema lolote na chochote popote... Uhuru huu utatuharibia taifa letu."
"Tusio kila kitu cha kuiga. Wenzetu wameamua kukata kamba, wenzetu wameamua kuwa mafedhuli ndivyo walivyoumwa... Lakini sisi tumesema dini yetu imeanza na utu kabla ya sala. Tuanze na utu wetu tweshimu wakubwa wetu."
"Hawa watoto wa 2015 wanasema hakuna maendeleo, ulikuwepo? Nchi hii tumekaa foleni mpaka Unga wa Manjano... Leo mtu anakuja anakurupuka kusema nchi haina maendeleo, unataka maendeleo gani?"
"Leo taifa letu nyumba moja mpaka ina magari 10 za kutembelea. Huko nyuma Dar es Salaam ilikuwa na magari matano tu, Dar es Salaam nzima!"
Jana kuna kauli kaitoa mufti iliwekwa humu anawauliza mama anatukanwa selekali inatukanwa na nyie mashehe mpo mnajuwa mlipataje ushehe huo naona ndio kazi imeanza rasmiKatika hotuba yake kwenye maadhimisho ya Maulid, Sheikh Mziwanda amewakosoa wanaosema Tanzania hakuna maendeleo
"Uhuru ukikosa mipaka ni uwendawazimu... Sasa kuna uhuru wa kusema lolote na chochote popote... Uhuru huu utatuharibia taifa letu."
"Tusio kila kitu cha kuiga. Wenzetu wameamua kukata kamba, wenzetu wameamua kuwa mafedhuli ndivyo walivyoumwa... Lakini sisi tumesema dini yetu imeanza na utu kabla ya sala. Tuanze na utu wetu tweshimu wakubwa wetu."
"Hawa watoto wa 2015 wanasema hakuna maendeleo, ulikuwepo? Nchi hii tumekaa foleni mpaka Unga wa Manjano... Leo mtu anakuja anakurupuka kusema nchi haina maendeleo, unataka maendeleo gani?"
"Leo taifa letu nyumba moja mpaka ina magari 10 za kutembelea. Huko nyuma Dar es Salaam ilikuwa na magari matano tu, Dar es Salaam nzima!"
Nyie mna Elimu au vyeti tu!Ilimu ndogo wanajua kubwabwaja tu, sasa watoto wa 2015 wanajua nn kuhusu nchi?!?!.
Kwani Elimu ni nini!Ana Elimu maana tusijadili matamko ya VICHAA
Mnatafri Elimu kwa vyetiElimu Elimu Elimu
Lissu ni mdini na CHADEma udini ndio unaoisumbua.Mashehe wa lisu wapo job sasa
Hili suala la elimu halina mashiko tofauti na miaka ishirini nyuma. Sasa hivi kila kata,kijiji,kitongoji kina digrii za kutosha.Kwani Elimu ni nini!
Sawa Sheikh MwaipopoLissu ni mdini na CHADEma udini ndio unaoisumbua.
Shukrani kwa LowassaHili suala la elimu halina mashiko tofauti na miaka ishirini nyuma. Sasa hivi kila kata,kijiji,kitongoji kina digrii za kutosha.
Shukrani kwa shule za kata
Wewe una Nini?Nyie mna Elimu au vyeti tu!
Ukisema Kikwete hautapungukiwa kitu MtumishiShukrani kwa Lowassa