Tetesi: Sheikh Othman Maalim afukuzwa Zanzibar

Hakuna hicho kitu kwenye security. Ukianza kucheza na usalama lazima watakushughulikia tu
 
Mie nmeota Makao Makuu ya Nchi yamehamia Kibiti kutokea Dodoma ,nataka kuipeleka kwa Afande Sirro kwa utekelezaji!, nielekezeni wa Ndugu
 
Aende tu kwao serikali ndio yenye mamlaka basi mie nilijua kwao ni znz..khaa aende tu asituletee chuki sie tunapendana wakristo kwa waislam apeleke chuki zake huko kwao.akwendree tu.


sasa ngj aende mombasa akaungane na wafia dni dadek ttajuuuta
 
Huyo aliyemwotesha ndoto alipaswa kumwotesha pia kuwa akisema tu atafukuzwa. Otherwise something is wrong
 
Mie nmeota Makao Makuu ya Nchi yamehamia Kibiti kutokea Dodoma ,nataka kuipeleka kwa Afande Sirro kwa utekelezaji!, nielekezeni wa Ndugu


hahahah orodhesha majina moja nbaada ya jingne ulooteshwa wanaotakiwa kuhamia huko!
1.bashite
2.mzee ya chattle
3.le boss himself le supika....
4.mamaa ya GHASIA
 
Poleni wazenji. Siasa hufanywa taratibu na kwa mahesabu, dini vilevile ina taratibu zake. Inshallah Allah (Subhanahu wa ta'ala) atawapatia viongozi wenu walio ndani sunna ya nabii Yusuf (pbuh).Na sheikh Othman aende zake tu, asiwe na presha kwani Sheikh Hilal bin Kipoozeo yupo ata-cover pengo hilo.
 


my ribs my ribs
 
Nimehuzunishwa sana na taarifa hii mbaya ya kufukuzwa kwa Shekh Othuman Maalim kwani mimi ni miongoni wa wafuatiliaji wa Visa vyake. Namuomba Allah ampe subra katika mtihani huu na Allah amuhifadhi kama alivyo wahifadhi Mitume wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…